VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
- Thread starter
- #61
Ok. Alipenya hadi mazingira ya uwanja wa ndege, na vifaa vyake, akadungua ndege,akapotea? Basi hiyo serikali haikuwa na sababu ya kuwepoMuuaji si ndio yule Tolu
Ok. Alipenya hadi mazingira ya uwanja wa ndege, na vifaa vyake, akadungua ndege,akapotea? Basi hiyo serikali haikuwa na sababu ya kuwepoMuuaji si ndio yule Tolu
Ok. Basi kama aliweza kudungua ndege hiyo maeneo ya uwanja wa ndege, sioni sababu ya uwepo wa hiyo serikali iliyokuwepo.Aliyeanzisha mauaji ni Paul Kagame na kikundi chake cha RPF kwa kudungua ndege ya Habyarimana iliyombeba pia Rais wa Burundi Ntaryamirwa.
Narrative ya kwamba Wahutu waliwaua Watusi iko controlled na Paul Kagame mwenyewe. Lakini ukweli ni kwamba yeye ndiye chanzo cha mauaji na wote kwa wote waliuana.
Huhitaji kuweka. Kwa sababu, walioikomboa nchi ni kina nani? Hao hao waache washikilie nafasi zao. Haya, unayaongea leo, ungeuliza walau wahutu walioisaidia RPF kumaliza mauaji ya watutsi na hawajapewa nafasiCjaelewa nini mkuu. Nauliza mbona idara na taasisi na kurugenz karibu zote zinaendeshwa na watutsi? Au nikuwekee picha na kazi zao hapa
Wahutu wa DRC wanaouliwa ni kina nani? Na kwa nini?Kama ambavyo wanyarwandq hasa watusi wanavyoua wabantu wa Congo DR ama Zaire , kwa sasa historia ya Rwanda haisikitishi tena bali imeongeza chuki dhiki ya watusi
Waliotengwa ni kina nani mkuu? Hizo takwimu unazitoa wapi? Unachokiita mhutu na mtutsi,unavipimaje wewe?! Wanasoma,wanasomeshwa vyuo vya nje,kwa gharama za serikali,then hawapewi nafasi? Weka akiba ya maneno basi.Kwa namna Kagame anavyowatenga Wahutu kwenye ngazi za uongozi naamini mauaji yatakuja rudia tena. Ngoja Kagame atoke madarakani au auawe
Sasa si tunarud pale pale mlibaguliwa na sasa mnawabagua. Ni kula kwa zamu tuHuhitaji kuweka. Kwa sababu, walioikomboa nchi ni kina nani? Hao hao waache washikilie nafasi zao. Haya, unayaongea leo, ungeuliza walau wahutu walioisaidia RPF kumaliza mauaji ya watutsi na hawajapewa nafasi
Mbona unapotosha pia!! RPF ilipovamia Rwanda mpaka kuteka Kigali hadi kuingia DRC kusaka waasi haikuua hata mtu mmoja?Kuna watu pia wanadai wahutu waliokufa. Ni kweli, wapo, kwa kuuliwa na wenzao, wengine kwa kisasi cha waliouliwa ndugu zao.
Kuna yotote inayoonyesha RPF ilivyoshiriki kuua wahutu na hatimaye kuteka nchi?Tafuta pia:
1. The 600
2. 94 Terror
3. My neighbor, my killer
4.Keepers of Memories(2004)
5. 100 days
6. Shake hands with the devils
7. Shooting dogs
8. MUNYURANGABO
9. A Sunday in Kigali
Kumbe Tutsi were targeted vipi sasa kulikua na watutsi laki 4 pekee hapo Rwanda ila waliokufa ni watu zaidi ya laki 8 hadi million moja, sasa hao laki 6 means ni wahutu!! Sasa cha ajabu inaitwa genocide ya tutsi sio Rwanda.ni World Wide inatambulika hivyo sababu hao watusi were targeted.
Ndo utuwekee na wewe,maana kama hizo ni za mchongo,weka madini tuoneKuna yotote inayoonyesha RPF ilivyoshiriki kuua wahutu na hatimaye kuteka nchi?
Waliwezaje kushinda vita bila kuua? Walioliwa waliokutwa kwenye handaki? Au walitakiwa waue,af RPF ije iwape maua kwa walichokuwa wamefanya!Kumbe Tutsi were targeted vipi sasa kulikua na watutsi laki 4 pekee hapo Rwanda ila waliokufa ni watu zaidi ya laki 8 hadi million moja, sasa hao laki 6 means ni wahutu!! Sasa cha ajabu inaitwa genocide ya tutsi sio Rwanda.
Hao RPF ni kwamba hawakuua mtu? Yaani tufanye watutsi million 1 waliuwawa basi je hao RPF waliwezaje kushinda vita bila kuua mhutu hata mmoja?
Uzi umejaa propaganda huu hakuna facts.
Waliuliwa. Na hizo ni pipi walikuwa wanalambaJe wahutu hawakuuliwa 1994 ?
Waliuliwa
Je, kwa nini waliuliwa! Hili ndo lingekuwa swali: Kwa nini watusti waliuliwa? Na kwa nini wahutu waliuliwa!Kama wahutu pia waliuliwa, Kwa nini wahutu hawatajwi ? Inaitwa Tutsi genocide ?
Je, kwa nini waliuliwa! Hili ndo lingekuwa swali: Kwa nini watusti waliuliwa? Na kwa nini wahutu waliuliwa!
Enewe, labda kukuongezea, ifahamike kwamba, Interahamwe zilikuwa na mpango wa kuhakikisha habaki mtutsi hata mmoja. Watutsi hao, hawakuwa matope, wengine waliweza kujihami na kuuwa interahamwe hao.Je, kwa nini waliuliwa! Hili ndo lingekuwa swali: Kwa nini watusti waliuliwa? Na kwa nini wahutu waliuliwa!
imhotep njoo huku kunakufaa zaidi ili utoe comments zako huku.Leo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na kudunguliwa kwa ndege iliyokuwa imebeba rais wa Rwanda wa kipindi hicho, Juvenal Habyarimana, na mwenzake wa Burundi, Cyprien Ntaryamira.
Kama una swali lolote linalokupa utata kuhusu mauwaji haya, usisite kuuliza. Ntajibu kadri nijuavyo.
Tarehe kama ya leo, ndipo wanajeshi wa nchi ya Ubelgiji waliokuwa Rwanda, waliwakimbia watutsi waliokuwa wamekimbilia katika kambi yao, na kuwaacha mikononi mwa wauwaji.
Sababu ni kwamba watutsi ndo walikuwa wanatafutwa wauwawe. Lengo lilikuwa kuhakikisha hakuna mtutsi atakaebaki nchi nzima.naona sasa Unaleta logical fallacy.
Swali langu jepesi, kwa nini wahutu waliouwawa wanawekwa pembeni,, haiitwi hutu + tutsi genocide ?
Ila inaitwa tutsi genocide tu ?
Kwa hio Tolu aliwezaje kuwaua hao marais?Ok. Alipenya hadi mazingira ya uwanja wa ndege, na vifaa vyake, akadungua ndege,akapotea? Basi hiyo serikali haikuwa na sababu ya kuwepo