VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
- Thread starter
- #81
Kama ilivyo kwa ndege ya Malaysia, mpaka wa leo haijajulikana mdunguaji ni nani hasa.Kwa hio Tolu aliwezaje kuwaua hao marais?
Kama ilivyo kwa ndege ya Malaysia, mpaka wa leo haijajulikana mdunguaji ni nani hasa.Kwa hio Tolu aliwezaje kuwaua hao marais?
Kwa hio story ipo humu JF imeelezea kila kitu kwamba muuaji ni ToluKama ilivyo kwa ndege ya Malaysia, mpaka wa leo haijajulikana mdunguaji ni nani hasa.
Kama ndo unavyoelewa, ni hivyo hivyo.Kwa hio story ipo humu JF imeelezea kila kitu kwamba muuaji ni Tolu
Nilishaandika tafiti zangu kibao humu you can refer to them mfano hii hapaNdo utuwekee na wewe,maana kama hizo ni za mchongo,weka madini tuone
Tolu aliwaua wale marais au hakuwapiga bomu?Kama ndo unavyoelewa, ni hovyo hivyo.
Nyie ni 10% tu ya population, siku serikali ya Uganda ikaanguka kwa kabila jingine nje ya Wahema kinachofuata ni utawala wa kitutsi kuondolewa hapo Rwanda ma Eastern Congo. Nyie ni minority ni vizuri muwape heshima majority, otherwise genocide ikirudi itakua total extermination.Pingeni mnavyojisikia, maisha waliopitia waliotangulia na walionusulika, haitakaa itokee kamwe.
Ndio nasema kama ni kweli watutsi million 1 waliuawa kivipi baada ya mauaji yao kuisha watutsi hao hao ndio wakaongoza nchi?Waliwezaje kushinda vita bila kuua? Walioliwa waliokutwa kwenye handaki? Au walitakiwa waue,af RPF ije iwape maua kwa walichokuwa wamefanya!
Kwa akili zako hizo ni sawa tu. Ila,kiuhalisia, hakuna kitu kama hicho.Nyie ni 10% tu ya population, siku serikali ya Uganda ikaanguka kwa kabila jingine nje ya Wahema kinachofuata ni utawala wa kitutsi kuondolewa hapo Rwanda ma Eastern Congo. Nyie ni minority ni vizuri muwape heshima majority, otherwise genocide ikirudi itakua total extermination.
Kisa cha yeye kuuwa kilikuwa nini? Aliamka tu akaenda akauwa!!!Ndio nasema kama ni kweli watutsi million 1 waliuawa kivipi baada ya mauaji yao kuisha watutsi hao hao ndio wakaongoza nchi?
Yaani hakuna mhutu aliuawa? Sasa hao wahutu walipotezaje madaraka kwa watutsi?
Kagame aliua sana na haya yako documented kwenye vitabu kibao tu kama cha Philip Rentyjens kuhusu War in Congo. Kuna kitabu cha behind iron curtains na kile cha Nyamwasa wakieleza upande wa pili walivyoua wahutu ili kupindua serikali. Na hawakuishia hapo tu waliwawinda hadi ndani kabisa ya Drc kuanzia Bunia, Kivu hadi huko Maniema as far as province Equator!!!
Walitafutwa na nani? Huyo kagame hakuwinda wahutu? huko Ruhengeri walikufa watutsi zaidi ya elfu 40!!Sababu ni kwamba watutsi ndo walikuwa wanatafutwa wauwawe. Lengo lilikuwa kuhakikisha hakuna mtutsi atakaebaki nchi nzima.
Mimi napenda amani ila sipendi uonevu. Kwa akili zenu mnadhani museveni au Kagame akifa ghafla nchi itarudi kwa watutsi? Jifunzeni kwa Prince Rwagasore wa burundi.Kwa akili zako hizo ni sawa tu. Ila,kiuhalisia, hakuna kitu kama hicho.
Aliuwa ili achukue madaraka, na uvamizi wa watutsi ulishaanza tokea miaka ya 80 wakaitwa "cockroach movement". Na walitungua ndege wakijua tu itaanzisha vita ili wapate sababu ya kuvamia full scale. Mind you ndege ilitunguliwa tayari mapigano yalishaanzaga mipakani hadi Rwigyema anafariki mapema kabisa.Kisa cha yeye kuuwa kilikuwa nini? Aliamka tu akaenda akauwa!!!
Hhahahaha, hongera sana. Basi, kikubwa madaraka walipata na bado wanayo. Kwa hiyo?Aliuwa ili achukue madaraka, na uvamizi wa watutsi ulishaanza tokea miaka ya 80 wakaitwa "cockroach movement". Na walitungua ndege wakijua tu itaanzisha vita ili wapate sababu ya kuvamia full scale. Mind you ndege ilitunguliwa tayari mapigano yalishaanzaga mipakani hadi Rwigyema anafariki mapema kabisa.
Kagame wanted power that's all
Amani unayoipenda unajua wapi inapopatikana. Ipambanie na wewe. Ila ya kuuwa watu ndo upate, kamwe.Mimi napenda amani ila sipendi uonevu. Kwa akili zenu mnadhani museveni au Kagame akifa ghafla nchi itarudi kwa watutsi? Jifunzeni kwa Prince Rwagasore wa burundi.
Tafiti na utafiti zaidi. Tena utafiti na tena. Kikubwa unachoaminisha akili yako, ni funza kwenye ubongo wako, mpaka pale utakuwa mkweli na muwazi.Walitafutwa na nani? Huyo kagame hakuwinda wahutu? huko Ruhengeri walikufa watutsi zaidi ya elfu 40!!
Mimi uzuri nimetafiti sana hili suala, kule Uganda by the way vitabu vinabyotumika shuleni kabisa form 1 hadi 6 ile issue inaitwa Rwandan War (1990-1994) na kwamba wote waliuawana ila haitambuliki kama genocide school wise. Sasa unataka kusema unajua sana kuzidi Museveni aliyeruhusu wanafunzi wafundishwe vile?
Ndio madaraka ni yenu si mtatawala milele!! Ila msipotoshe kuwa ni Tutsi genocide, we won't accept that.Hhahahaha, hongera sana. Basi, kikubwa madaraka walipata na bado wanayo. Kwa hiyo?
Amani ni kuleta umoja, sasa huo ubaguzi mnaofanya utawasaidia vipi kuleta amani?Amani unayoipenda unajua wapi inapopatikana. Ipambanie na wewe. Ila ya kuuwa watu ndo upate, kamwe.
Siku zote mshindi ndio huandika historia. Ila siku mkiondoka madarakani ukweli utawekwa waziTafiti na utafiti zaidi. Tena utafiti na tena. Kikubwa unachoaminisha akili yako, ni funza kwenye ubongo wako, mpaka pale utakuwa mkweli na muwazi.
Kwq namna historia ya watutsi kuona wahutu ni watu wa chini, nakuhakikishia hiyo ni time bomb tu. Huyu skinny tall man PK akidondoka lazima wahutu walipe kisasiOk. Basi kama aliweza kudungua ndege hiyo maeneo ya uwanja wa ndege, sioni sababu ya uwepo wa hiyo serikali iliyokuwepo.
Pingeni mnavyojisikia, maisha waliopitia waliotangulia na walionusulika, haitakaa itokee kamwe. Waliuwawa kinyama, kikatili, ila walionusulika wana wajibu wa kuhakikisha wanaishi, japo bado wahutu mnadokoa mmoja mmoja.
Uongozi wa ngazi za juu Serikakini na kwenye taasisi nyeti uneshikwa na matusi ambao ni less than 10% ya population ya Rwanda. Hawa wahutu wamezimwa ila wanaumia kimya kimya kwa sababu dikteta PK akisikia wananung'unika anawauaWaliotengwa ni kina nani mkuu? Hizo takwimu unazitoa wapi? Unachokiita mhutu na mtutsi,unavipimaje wewe?! Wanasoma,wanasomeshwa vyuo vya nje,kwa gharama za serikali,then hawapewi nafasi? Weka akiba ya maneno basi.