Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Katika kitu sielewi ni huu mgogoro na mauaji yaliyotokea
Ni CCM tu ndio wenye kuweza kuleta hqpa nchini laana za namna hiyoMwenyezi MUNGU. Asaidie mauaji haya, ya kutisha yasije kujirudia tena.
Kwanini idara zote nyeti kwenye taasisi na mashirika zinashikiliwa na watutsi mkuuLeo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na kudunguliwa kwa ndege iliyokuwa imebeba rais wa Rwanda wa kipindi hicho, Juvenal Habyarimana, na mwenzake wa Burundi, Cyprien Ntaryamira.
Kama una swali lolote linalokupa utata kuhusu mauwaji haya, usisite kuuliza. Ntajibu kadri nijuavyo.
Tarehe kama ya leo, ndipo wanajeshi wa nchi ya Ubelgiji waliokuwa Rwanda, waliwakimbia watutsi waliokuwa wamekimbilia katika kambi yao, na kuwaacha mikononi mwa wauwaji.
Ndio, mii mnyarwandawewe ni mnyarwanda?
Ntakujibu kwa uelewa wangu:Kwanini idara zote nyeti kwenye taasisi na mashirika zinashikiliwa na watutsi mkuu
Ndo maisha, tunawakumbusha na nyie kuwa kuna ujinga mwingine ukipenya, ni kiama, hivyo, amani mliyo nayo isije wafanya mjisahaupoleni sana RWANDA
Okay cousin, wishing you all the best.Aho utinya uhatuma ikigoryi
Hii ni kwa mujibu wa uelewa wako. Japo hujajibu swali la msingi kwanini idara zote nyeti taasisi na mashirika karibu zote zimeshikiliwa na watutsi. Ndio wenye akili sana au.Ntakujibu kwa uelewa wangu:
1. Tabaka na kabila ni tofauti
2. Kiuharisia, ukiangalia mambo yanayoendelea hasa kwenye mitandao ya kijamii, yanayoendelea nchini, kuna wakati unatakiwa kuwa makini zaidi ya sana. Wanamuita rais dikteta,ila ukweli ni kwamba akilegeza kamba, matokeo yake hayatakuwa tofauti na mauaji ya kimbali ya mwaka ule
3. Pia kumbuka, wengi wakiwemo Kayumba Nyamwasa, ambaye ni huyo unaemsema,kimuonekano, na wenyewe wapo(wanaosaliti uongozi wa nchi)
Hongera. Na wahutu mlikuwa wangapi vile?
Kwanini kila maadhimisho yanayofanyika ni watutsi na hakuna wahutu wala watwa??Swala la pili kwanini mnalazimisha kuwa ni mauaji ya watutsi wakati waliouwawa ni watustsi na wahutu?Leo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na kudunguliwa kwa ndege iliyokuwa imebeba rais wa Rwanda wa kipindi hicho, Juvenal Habyarimana, na mwenzake wa Burundi, Cyprien Ntaryamira.
Kama una swali lolote linalokupa utata kuhusu mauwaji haya, usisite kuuliza. Ntajibu kadri nijuavyo.
Tarehe kama ya leo, ndipo wanajeshi wa nchi ya Ubelgiji waliokuwa Rwanda, waliwakimbia watutsi waliokuwa wamekimbilia katika kambi yao, na kuwaacha mikononi mwa wauwaji.
Duh! kwa kifupi, zamani wanyarwanda waliishi kwa umoja. Wazungu walivyokuja, wakajaribu kuvunja ule muungano,wakashindwa. Badae wakagundua kuwa, wakitumia mfumo wa devide and rule, wanaweza. Ndipo matabaka yakaanzishwa na wabelgiji, huku yakishika nafasi ya makabila ya awali wanyarwanda waliyokuwa na yo. Waliowaita watutsi, kwa kuwa walikuwa wana mali, walipewa pia nafasi za uongozi.Katika kitu sielewi ni huu mgogoro na mauaji yaliyotokea
Namba 2 itakuwa hujaielewaHii ni kwa mujibu wa uelewa wako. Japo hujajibu swali la msingi kwanini idara zote nyeti taasisi na mashirika karibu zote zimeshikiliwa na watutsi. Ndio wenye akili sana au.
Kwanini kila maadhimisho yanayofanyika ni watutsi na hakuna wahutu wala watwa??Swala la pili kwanini mnalazimisha kuwa ni mauaji ya watutsi wakati waliouwawa ni watustsi na wahutu?