VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Kinachohitajika ni watu kutokuwa kimya kama ilivyokuwa kipindi kile. Lakini, hicho hicho ndo kinachoendelea mashariki mwa CongoMwenyezi MUNGU. Asaidie mauaji haya, ya kutisha yasije kujirudia tena.
Ni kumwachia MUNGU.Kinachohitajika ni watu kutokuwa kimya kama ilivyokuwa kipindi kile. Lakini, hicho hicho ndo kinachoendelea mashariki mwa Congo
Mule ni tone mkuu. Hakuna uhalisia kama ulioshuhudiwa na badhi ya watu, watutsi waliokuwa wakiwindwa wauwae, wahutu waliowaficha watusti, au wengine ambao hawakuwa na roho ya kuangamiza binadamu wenzaoile movie inasisimua sometimes in April chini ya Idris Elba na Carole 🔥
Wahutu ndiyo waliuawa wengi,1994 palikua na watusi laki nane tu na waliouawa ni milioni +,na watusi walikuwepo wengi tu baada ya mambo kutuliaLeo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na kudunguliwa kwa ndege iliyokuwa imebeba rais wa Rwanda wa kipindi hicho, Juvenal Habyarimana, na mwenzake wa Burundi, Cyprien Ntaryamira.
Kama una swali lolote linalokupa utata kuhusu mauwaji haya, usisite kuuliza. Ntajibu kadri nijuavyo.
Tarehe kama ya leo, ndipo wanajeshi wa nchi ya Ubelgiji waliokuwa Rwanda, waliwakimbia watutsi waliokuwa wamekimbilia katika kambi yao, na kuwaacha mikononi mwa wauwaji.
Just the way you think of it. What do you call politicizing? Then you need a silence eh!The simplest way for Rwanda to move forward is by avoiding the politicization of the Genocide. Show some dignity to your dead.
Kagame has capitalized on the Genocide, and he's using it to justify his brutal invasion of Eastern DRC, and silencing political opponents at home.
Good men, like General Rusagara have died a brutal death, simply because the skinny dictator could not stomach opposition.
Not cool at all.
Hiyo idadi uliitoa wapi?Wahutu ndiyo waliuawa wengi,1994 palikua na watusi laki nane tu na waliouawa ni milioni +,na watusi walikuwepo wengi tu baada ya mambo kutulia
Sensa ya watu ya Rwanda 1994Hiyo idadi uliitoa wapi?
Hongera. Na wahutu mlikuwa wangapi vile?Sensa ya watu ya Rwanda 1994
Huyo MUNGU Alishindwaje kuzuia mauaji hayo yasitokee?Mwenyezi MUNGU. Asaidie mauaji haya, ya kutisha yasije kujirudia tena.
Just the way you think of it. What do you call politicizing? Then you need a silence eh!
Huyo MUNGU wa kuachiwa si ndio huyohuyo alishindwa kuzuia mauaji hayo yasitokee?Ni kumwachia MUNGU.
Aho utinya uhatuma ikigoryiKagame's unhinged statements on Kwibuka 31 are a total disgrace to Rwanda, especially the people mourning their dead. Why would you have to flaunt your personal insecurities and vitriol in such a sensitive day of mourning ?
Don't you people have a thing called class ?
Kwani wewe idadi ya watutsi waliouwawa umeitoa wapi? Rwanda kwasasa inatakiwa kuvunja mipaka ya ethnicity kama inataka kumaliza hii migogoro otherwise ni kujidanganya kwa muda tu watu Wana mambo ya mazito mioyoni kuwanyamiza haihitaji nguvu ya jeshi ni social interactions.Hiyo idadi uliitoa wapi?
wewe ni mnyarwanda?Hongera. Na wahutu mlikuwa wangapi vile?