Ni kipindi kigumu sana kwa baadhi ya Wanyarwanda, walionusurika kuuawa mwaka 1994

Mkuu wewe ndio usema ili kutengeneza opposite ya hii inayoitwa genocide against tusi.
 
This plan was programmed by America(democratic party)through Central Intelligence Agency(CIA)
 

Attachments

  • FB_IMG_1738499021782.jpg
    57.7 KB · Views: 26
Kuna mauaji mengine mabaya zaidi yalitendeka huko Zaire mashariki (Sasa Drc) kuanzia mwaka 1996.

MSF Crash
msf-crash.org
The “disappeared” of Congo-Zaire, 1996-1997. The question of the ...

 
Hii vita source yake ni ubaguzi wa wa-Tutsi wenyewe kujiona special kuliko watu wengine, tutarajie mauaji zaidi maziwa makuu make nyie wanyarwanda mna tamaa ya madalaka na ardhi na kuwaona wengine hawana sifa ya kuwa na vitu hivyo, mmeanza na DRC 🇨🇩 Kisha mje kuichukua burundi baadae Tz na Kenya Kisha nchi zote za maziwa makuu.. mnahangaika mno ila tamaa ndio msingi wa haya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…