Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

Weka natafsiri zahiyo lugha yakigeni iliwote tuelewe
 
Weka natafsiri zahiyo lugha yakigeni iliwote tuelewe
Hakuna kubwa lililoandikwa ambalo haliunganiki kimuktadha na comment nzima kukufanya usielewe ndugu. Ikiwa hujaelewa ni dhahiri hata bila ya hayo maneno usingeelewa pia, kumaanisha si hadhira husika wa hiyo comment.

Kuna wakati ni sawa kuacha mengine yatupite ili maisha yaendelee pia.

Uwe na jioni yenye furaha na faraja tele.
 
Hiki si kichambo😀
 
Aseee.....nimesisimkwaaa
Alijiskiaje huyo shetani wa mguu mmoja?
 
Daahhh...Mungu Huyu acha aitwe Mungu
 
Daahhh...Mungu Huyu acha aitwe Mungu
Kwa njia kubwa sana naweza kusema hilo tukio liliimarisha imani yangu zaidi kwa Mungu.

Muhindi aliponifuata mara ya pili sikuwa na kazi, nilikuwa nina dhiki ambayo nisingemuombea mwanadamu yeyote awe nayo. Ila nilipata ujasiri wa kumkatalia offer yake.

Kwa uhalisia niliokuwa nao kipindi hicho ilipaswa nikubali hata robo ya mshahara wangu wa awali. Ila nilipatwa na ujasiri wa kukataa na wazo la kwenda kwa kaburu mwenyewe.

Mpaka leo naamini kabisa haikuwa akili, ujanja wala utashi wangu katika kufanya maamuzi. Ilikuwa ni rehma na muongozo wa Mungu.

Miracles are real we just have to believe.
 
Saaafi sana
 
Umezidi kunipa maneno mazuri
Yaani ulisimamia unachokiamini brother na MUNGU hakutaka kukupora Hali Yako jasho la myonge haliendi Bure
 
Hongera
 
Ndugu yangu wa mbali kaja mjini kakaa kwangu miezi 2. Cha ajabu alivyoondoka kaenda kunianika kijijini kuwa tunakula wali maharage Kila siku jioni....na Dagaa kabichi mchana na kwamba wife atakua mchoyo!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…