YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
achana nae tu,,ndo watu wa kijijini walivyo hivyo[emoji2][emoji2][emoji2]
Jirani watu wa Kijijini wanataka kula nyama kila siku, wakati ng’ombe wameziacha walikotoka [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achana nae tu,,ndo watu wa kijijini walivyo hivyo[emoji2][emoji2][emoji2]
DahKwa njia kubwa sana naweza kusema hilo tukio liliimarisha imani yangu zaidi kwa Mungu.
Muhindi aliponifuata mara ya pili sikuwa na kazi, nilikuwa nina dhiki ambayo nisingemuombea mwanadamu yeyote awe nayo. Ila nilipata ujasiri wa kumkatalia offer yake.
Kwa uhalisia niliokuwa nao kipindi hicho ilipaswa nikubali hata robo ya mshahara wangu wa awali. Ila nilipatwa na ujasiri wa kukataa na wazo la kwenda kwa kaburu mwenyewe.
Mpaka leo naamini kabisa haikuwa akili, ujanja wala utashi wangu katika kufanya maamuzi. Ilikuwa ni rehma na muongozo wa Mungu.
Miracles are real we just have to believe.
yani jirani wanadamu hatuna jema mkipika dagaa watakwambia mchoyo...wakati tunakula wote,,, hapo siku mlale njaa sasa😂😂😂😂Jirani watu wa Kijijini wanataka kula nyama kila siku, wakati ng’ombe wameziacha walikotoka [emoji23][emoji23][emoji23]
ndo ilivyo hivyoNdugu zetu sio kabisaa....tunaishi ila maadui zetu ndani Kwa ndani
Ulikua na umri gani wakati huo??Binamu yangu alinivua nguo na kunipaka upupu Mwili mzima... nilikuwa nakimbia more than kichaa.....RIP Bro![emoji24][emoji24][emoji24]
AseehhhBinamu yangu alinivua nguo na kunipaka upupu Mwili mzima... nilikuwa nakimbia more than kichaa.....RIP Bro![emoji24][emoji24][emoji24]
niliapa sitakaa Tena na ndugu nilikaa na mtoto mmona Hivi akataka kuniletea msala sitasahau maisha yote nikamrudisha kwao Kwa ndugu UPANDE Wa baba Ake after a month shangazi yake akapiga ananiuliza,"uliwezaje miàka yote kuishi nae"?nkamuambia "kibovu chako,komaa TU mi si mliniona mbaya"wakamtimua Kwa shangazi yake maana walimchoka vituko vyake Yuko Kwa dada Ake Nako ka kua Hana pa kumpelekea...Sina hamu tenayani jirani wanadamu hatuna jema mkipika dagaa watakwambia mchoyo...wakati tunakula wote,,, hapo siku mlale njaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
vizuri kama na wao wameshuhudia kwa macho yao...niliapa sitakaa Tena na ndugu nilikaa na mtoto mmona Hivi akataka kuniletea msala sitasahau maisha yote nikamrudisha kwao Kwa ndugu UPANDE Wa baba Ake after a month shangazi yake akapiga ananiuliza,"uliwezaje miàka yote kuishi nae"?nkamuambia "kibovu chako,komaa TU mi si mliniona mbaya"wakamtimua Kwa shangazi yake maana walimchoka vituko vyake Yuko Kwa dada Ake Nako ka kua Hana pa kumpelekea...Sina hamu tena
Ni kweli mkuu!Nilishawahi kuajiriwa na muhindi mmoja kama project manager. Ali apply tender iliyohusisha kuweka signage (mabango) nchi nzima kutoka kampuni moja maarufu ya Makaburu (South Africans). Kipindi hicho ilikuwa project yenye thamani ya kama $100,000.
Kabla ya kupata tender kulikuwa na bidding ambapo moja ya sharti ilikuwa ni kuwakilisha installation plan (proposal) iliyohusisha uchambuzi wa matumizi ya budget, utekelazaji wa kazi mpaka kukamilika kwake.
Nilifanya kazi ya kuandaa plan wiki 2 nzima usiku na mchana maana ilikuwa inahitajika haraka. Ilipotimia na kuwakilishwa muhindi akashinda tender.
Ilipoidhinishwa tu kuwa kashinda jamaa akaniambia kuna muhindi mwenzie toka India (expatriate) atasimamia hiyo project (kutumia plan yangu), moja ya makubaliano yetu ya awali ilikuwa nitaisimamia mimi hiyo project yote endapo proposal yangu itapita.
Aliposema mambo ya expatriate tu nikatoa notice yangu ya mwezi mmoja ya kuacha kazi.
Kipindi nataarisha plan ya hiyo project nilifanya research ya kutosha nikijua nitasimamia mimi mwenyewe hivyo niliweza kuhalalisha baadhi ya matumizi ya budget nikijua nitafanikisha vipi baada ya research yangu.
Phase ya kwanza ya project ilianzia mikoa ya Tanga, Arusha na Moshi. Muhindi alipopewa mzigo installation ianze akachemka baada ya kumaliza Tanga tu. Pesa ilikata na kazi hata robo haijaisha.
Kila sehemu ilikuwa na time limit kama ilivyoanishwa kwenye proposal plan, muhindi alichemka phase ya kwanza tu huku ikiwa keshachukuwa advance ya Mkaburu.
Nilifanya presentation mimi mwenyewe kwenye bidding kwa niaba ya muhindi, hivyo sharti aliliopewa na makaburu ni kuwa aliendaa na kufanya presentation ya proposal ndio asimamie project la sivyo atanyang'anywa kazi.
Ilibidi muhindi anitafute tukae chini tena akiahidi offer kubwa kulinganisha na ya awali. Nilimkatalia na wakati huo huo nili apply kivyangu kwa makaburu wanipe project mimi kama mimi.
SIkuwa na kampuni yangu hivyo ile project ikahamishiwa kuwa in house project kumaanisha walianzisha kitengo maalum cha signage ndani ya kampuni yao kuanzia production mpaka installation na mimi nikapewa hicho kitengo kukisimamia. Hivyo badala ya Project Manager nikawa Division Manager.
Kwa ile phase ya kwanza ilimlazimu muhindi kumaliza na ilibidi areport kwangu moja kwa moja kwa niaba ya kaburu, karma is real.
Sehemu ya kazi iliyobaki iliisha kwa wakati na mpaka sasa kupitia hiyo project kitengo cha signage kwenye kampuni ya kaburu kimekuwa one of the leading signage companies kwa Tanzania.
Katika maisha chochote kinachopaswa kuwa chako kitakuwa chako tu haijalishi kitachelewa kwa kiasi gani.
Miaka 10Ulikua na umri gani wakati huo??
yani jirani wanadamu hatuna jema mkipika dagaa watakwambia mchoyo...wakati tunakula wote,,, hapo siku mlale njaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapo mbona watatangaza ulitaka wafe njaa😃😃😂😂😂🙌Dawa yao wakija tena, wapikie ugali na kachumbali [emoji23][emoji23]
Mdau nishakufahamu. Hiyo kampuni naijua ilikua maeneo ya mbozi road sasa ilishafirisika, na hayo mabango ni ya kampuni ya soda pendwa ile ya mkubwa wao.Nilishawahi kuajiriwa na muhindi mmoja kama project manager. Ali apply tender iliyohusisha kuweka signage (mabango) nchi nzima kutoka kampuni moja maarufu ya Makaburu (South Africans). Kipindi hicho ilikuwa project yenye thamani ya kama $100,000.
Kabla ya kupata tender kulikuwa na bidding ambapo moja ya sharti ilikuwa ni kuwakilisha installation plan (proposal) iliyohusisha uchambuzi wa matumizi ya budget, utekelazaji wa kazi mpaka kukamilika kwake.
Nilifanya kazi ya kuandaa plan wiki 2 nzima usiku na mchana maana ilikuwa inahitajika haraka. Ilipotimia na kuwakilishwa muhindi akashinda tender.
Ilipoidhinishwa tu kuwa kashinda jamaa akaniambia kuna muhindi mwenzie toka India (expatriate) atasimamia hiyo project (kutumia plan yangu), moja ya makubaliano yetu ya awali ilikuwa nitaisimamia mimi hiyo project yote endapo proposal yangu itapita.
Aliposema mambo ya expatriate tu nikatoa notice yangu ya mwezi mmoja ya kuacha kazi.
Kipindi nataarisha plan ya hiyo project nilifanya research ya kutosha nikijua nitasimamia mimi mwenyewe hivyo niliweza kuhalalisha baadhi ya matumizi ya budget nikijua nitafanikisha vipi baada ya research yangu.
Phase ya kwanza ya project ilianzia mikoa ya Tanga, Arusha na Moshi. Muhindi alipopewa mzigo installation ianze akachemka baada ya kumaliza Tanga tu. Pesa ilikata na kazi hata robo haijaisha.
Kila sehemu ilikuwa na time limit kama ilivyoanishwa kwenye proposal plan, muhindi alichemka phase ya kwanza tu huku ikiwa keshachukuwa advance ya Mkaburu.
Nilifanya presentation mimi mwenyewe kwenye bidding kwa niaba ya muhindi, hivyo sharti aliliopewa na makaburu ni kuwa aliendaa na kufanya presentation ya proposal ndio asimamie project la sivyo atanyang'anywa kazi.
Ilibidi muhindi anitafute tukae chini tena akiahidi offer kubwa kulinganisha na ya awali. Nilimkatalia na wakati huo huo nili apply kivyangu kwa makaburu wanipe project mimi kama mimi.
SIkuwa na kampuni yangu hivyo ile project ikahamishiwa kuwa in house project kumaanisha walianzisha kitengo maalum cha signage ndani ya kampuni yao kuanzia production mpaka installation na mimi nikapewa hicho kitengo kukisimamia. Hivyo badala ya Project Manager nikawa Division Manager.
Kwa ile phase ya kwanza ilimlazimu muhindi kumaliza na ilibidi areport kwangu moja kwa moja kwa niaba ya kaburu, karma is real.
Sehemu ya kazi iliyobaki iliisha kwa wakati na mpaka sasa kupitia hiyo project kitengo cha signage kwenye kampuni ya kaburu kimekuwa one of the leading signage companies kwa Tanzania.
Katika maisha chochote kinachopaswa kuwa chako kitakuwa chako tu haijalishi kitachelewa kwa kiasi gani.
Kama namwona huyo mtama alivyokuwa mwekundu akivuta masgara kama yooote..🥲🥲🥲[emoji16][emoji13]Nilishawahi kuajiriwa na muhindi mmoja kama project manager. Ali apply tender iliyohusisha kuweka signage (mabango) chako tu haijalishi kitachelewa kwa kiasi gani.
Wewe na Mimi hatupishani. SI yeye ni sababu ya huyo bi mdogo. Ametumwa toka kuzimu au ujinini ama angani kuhakikisha hufikii lengo Mungu alilokuumba kwalo. Hayo uliyopata ni madogo mengi bado yako kwake huyo bi mdogo.kuna kazi ilitokea jeshini yaani mafunzo ya jeshi (jw) kipindi hicho mkuu wa kambi ana pewa nafasi za watu watatu kuwaingiza jeshini bure basi nafasi ikawa imedondokea kwangu,rafikiake na mkuu wa kambi ni ndugu yetu sa akawa amepeleka jina langu kule kwa mkuu kule lugaro, mzee sikuya mwisho ana ambiwa mwanao anatakiwa alipoti ila andaa jiwe3 za soda akagoma.usiku na kuja kusikia ana mueleza bi mdogo ,yaani aende jeshi siatatusumbua huyu iliniuma kinoma,nikapata rafiki baharia wa meli kikabila ni muhaya,ye anaishi uk anagereji akamwambia dingi nienda ymca pale posta nisome mechanico injiniaring chakusikitisha niliishia kupigwa nondo nashule sikumaliza, jamaa anataka atumeviza dingi akamwambia nimehuni shule basi ikaishia hivyo.nachoshukuru mungu hajaniacha bahati bado ipo kwangu. Na dingi baadae alifirisika amebaki hana jeuri.n.b wazazi wengine ni wabinafsi hata kwa watoto wao wakuwazaa,nawaza sasaiv ningekuwa zangu jw au uk. ila hapa hapa maisha yanajipa dingi jeuri hana loho mbaya ilimponza.
dah nikifikiriaga na huzunikaga sana ,ndoto zangu kuzimwa na watu wakalibu.kuhusu bimdogo nakubali ila na dingi ni mnoko sana kwakweliWewe na Mimi hatupishani. SI yeye ni sababu ya huyo bi mdogo. Ametumwa toka kuzimu au ujinini ama angani kuhakikisha hufikii lengo Mungu alilokuumba kwalo. Hayo uliyopata ni madogo mengi bado yako kwake huyo bi mdogo.
Sent from my itel A512W using JamiiForums mobile app