Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

Ndugu waligawana mali bila kutujali sisi bado tukiwa wadogo. Tumesoma kwa shida mpaka tumekuwa na sasa tuna familia zetu. Sisi watatu tumeshikana tangu utoto mpaka leo. Wale ndugu sasa hivi wanatusengenya eti atuwajali. Sijui wanafikiri tumeshasahau!
Safi sana
 
Daaaah.... ukajinasuaje? Na alitaka kukuua kwa njia ipi?
Nilikuwa mdogo sana ni story ndefu ila hiyo Siri nilikuja kuijua Baadaye baad ya Ndug yke na baba kuisema, kiufupi alitak kunitoa kafara ila Namshukuru Muumba saiv ni mzima na nina Life yangu.
 
💯
 
Ndugu yangu wa mbali kaja mjini kakaa kwangu miezi 2. Cha ajabu alivyoondoka kaenda kunianika kijijini kuwa tunakula wali maharage Kila siku jioni....na Dagaa kabichi mchana na kwamba wife atakua mchoyo!
Wewe ndo uliendekeza Ujamaa
 
Wakuu Mimi niliachwa na demu baada ya yeye kufika chuo mzumbe akatafuta mwanachuo mwenzake Mimi nikabak solemba mtaani kwangu,,yangu apo nikaona njia bola ya kumsahau ni kufanya kazi kwa bidii kutafuta maokoto
 
ACHENI KUENDEKEZA KUAMINI NDUGU NA MARAFIKI NA WATU WAKUOKOTA BARABABARANI... HAYA MAISHA UKITAKA UYASHINDE ISHI NA MTU KAMA UNAISHI NA NYOKA NDANI YA NYUMBA... OTHERWISE MTAENDELEA KUPIGWA MATUKIO TENA NA TENA...
Binafsi nina roho mbaya sitaki mazoea na ndugu au watu ambao sijazaliwa nao tumbo moja (elewa maana ya tumbo moja)...
 
Nilinunua kiwanja Kwa mbinde sana nayeye ndo alikuwa mwenyeji wangu akanifaata pale nilipokuwa na simamia duka.

Akaniambia Kuna kiwanja kinauzwa pazuri kweli na bei nzuri nakuomba chukua pesa kakilipie. Balance yangu ilikuwa kidogo tu ikabidi nichukue na ya boss kuongezea maana kiwanja kilikiwa kinauzwa 650k

Nikaenda kununua tukaandikishana Kila kitu

Baada ya muda nikaamua kikuuza yeye ndo aliyetafta manunuzi Kwa maeleano ya 850k
Mnunuzi akanguliza 450k basi jamaa Kila niliulizia haeleweki walanini nakuja kuambiwa ndg yngu alipewa pesa yote Akala

Huwa najitajidi nisamehe moyo unagoma kabisa hati ninazo Kila kitu.

Pesa Ile nilkuwa naliPwa 70k Kwa mwezi nikajihidi Hadi kupata nikanunua hiko kiwanja
 
Nimefurahi,am waiting for my miracle.
 
Ndugu yangu wa mbali kaja mjini kakaa kwangu miezi 2. Cha ajabu alivyoondoka kaenda kunianika kijijini kuwa tunakula wali maharage Kila siku jioni....na Dagaa kabichi mchana na kwamba wife atakua mchoyo!
Hii ndio mlo.wenye afya akaseme tu
 
Pesa ilienda au ilibaki?
 
Nimempenda huyo baba,msemo mzuri Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…