Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Kuna dada wa kazi alikuwa analalama mtoto wa darasa la pili anamdharau.
So, akachukua daftari la homework la mtoto kinyemela na akaandika tusi 'k' ili amuundie mtoto msala shule akachapwe.
Little did she know kwamba shule za kishua watoto hawachapwi hovyo, ni wazazi wanapigiwa simu kujadili nini kimetokea.

Kutrace ndo tunagundua mwandiko ni wake na yule mtoto wala hajui hata hilo tusi.

Akapoteza kazi immediately!
 
Mamaa Vituko ni vingi Jamani daaa!
 
Mie wangu alikuwa anaweka mchanga kwenye wali ili kunikomesha siku nikimuwakia kwa hasira. Na nikaja nikazoea nikawa nakula off home kila nikimgombeza. Baadae akabeba mimba akarudi kwao kimyakimya bila hata kuniaga
 
Alinipa sumu kwenye uji,mchicha,akaja kushikwa alikuwa aniue nilikuwa na 2years mdogoo

Alitaka kuondoa ulichopewa hayo au? Alijua wewe utatumika na haukujua una ulinzi au ndio maadui zenu walitaka kuwa futa kwenye amani ya hayo umepewa urithi?
 
Ndio maana nasema kila mara mke hatakiwi kufanya kazi
Majukumu ya mke ni;
(1) Kuzaa watoto
(2) Kutunza familia (baba na watoto)
(3) Kutunza nyumba
Mkuu wa ulimwengu tulipo kwa sasa nikae nyumbani kufanya unpaid work mzazi wangu anashida ya elf 50 au laki niandike proposal kuomba pengine ikataliwe au ikubaliwe na hapo inategemea na mood ya donor..siwezi aisee naitumikia elimu yangu ambayo wazazi wangu waliwekeza kwangu ..kuna kukwama pia mimi kama mama naweza kwamua kama ninachochote na mambo yakaenda katika familia
 
Alitaka kuondoa ulichopewa hayo au? Alijua wewe utatumika na haukujua una ulinzi au ndio maadui zenu walitaka kuwa futa kwenye amani ya hayo umepewa urithi?
Alikuwa anataka kutuua familia nzima aolewe na baba azae watoto wengine maana aliposhikwa alikiri kuwa sio mimi alikuwa anampango wakuniua ilikuwa familia nzima japo alianza na mimi
 
Kuna likizo mama watoto alisafiri tukabaki wawili mimi na dada wa kazi.

Mvua ikanyesha kubwa kiasi.

Asieee,Alikuja kunigongea chumbani eti anaogopa kulala peke yake.
Nikawaza huyu bint ametoka Kagera na mvua huko ni nyingi leo aogope mvua?

Nikatoka nikamwambia washa TV uangalie.Alivyo vaa kikanga kimoja tu.

Kama mwanaume kweli nilipata mtikosiko kiasi,nikarudi room kwangu nikapiga Nyeto kesi na Abdala kichwa wazi ikaisha nikapona na mtego wake.
 
[emoji848]
JamiiForums1317357355.gif
 
Ni kadogoo hata nyonga haijapanuka,lakini kana mabwana kapangilia kwenye simu.siku nkakuta kaacha chaaji kitochi chake roho iknaiambia mpelelze.kushika simu upande wa sms ye ana majamaa wanakumbushiana walivyokulana how sweet it was,jamaa anaomba arudi wakumbushie Tena.
Sikumwambia mtu yeyote humo ndani maana kapevuka tayari so hayo mambo ni Hali yake.
Mwezi mmoja mbele Kuna bazazi likafanikiwa kumtorosha,akiahidi kumuoa,wenyeji waliganagaika sana maana ndo tegemeo la kumwachia mtoto na nyumba.
Jamaa naskia lilimkula wee siku chache akamtimua.binti hajui aende wapi maana kote kaharibu.ikabidi arudi kijijimi kwao tu.
Nkiwakanya kuhusu wanaume wanaona ka nawazingua nawawekea kiwingu.
 
Kuna haka kamoja kalikuja mavazi yake ni mwendo wa khanga na chupi tu, wife kasema hadi kachoka kaamua kumtimua!

Tukapata lirundi moja hivi kisirani hadi wanajibizana na wife mwisho wa siku akatuibia na kutoroka 🙂🙂
 
Back
Top Bottom