Moja ya masharti ambayo huwa nawapa hawa maafisa malezi ni kutomiliki simu , maana akiwa na simu ni shida nyingine.
Sasa kuna huyo nililetewa kutoka kanda ya ziwa, tukiondoka anaunga nyumba na yeye anaondoka , mwezi mmoja tu analiwa na wanaume kumi +, wapo vijana wa kawaida, bodaboda, bajaj na kuna mmoja mtangazaji wa radio.
Sasa siku anaingia 18 zangu , kapewa maelekezo na Wife, akafanya tofauti then akasingizia eti baba ndo alisema.
Alikula bakora na kesho yake nikampandosha gari kumridisha kwao, kumpigia mama yake kumbe anajua mwanae ni malaya ➕