Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Wife aliwahi kurudi nyumbani na kufungua geti bila mdada wa kazi kujua akamkuta anaosha vyombo akiwa uchi wa mnyama, baada ya kuona amekutwa basi alikimbia mbio ndani.

Tulipo muhoji alionekana ni mwanachama wa ulozi hivyo tulimsafirisha haraka sana.
 
kuna siku nilirudi home mara moja kuchukua pesa niliyokuwa nimeisahau ili nirudi kazini chap. Ilikuwa kama saa 5 kasoro hivi ile kufika nyumbani nikakuta watoto wangu wawili mmoja ana miezi 8 mwingine miaka 2 wapo wenyewe dada hayupo nikajua kaenda dukani labda. Nikakaa na watoto pale walikuwa hata hawajala wala hawajaogeshwa mana walikuwa bado na nguo za kulalia. Baada ya nusu saa kupita nikampigia wife kumuuliza huyu house girl vipi mbona hayupo na yeye wife alikuwa kazini, akashangaa kuwa hajamtuma popote. Nikwauliza majirani wakasema walimuona katoka asb akiwa na begi.

Kuingia chumbani nikakuta kaiba nguo na viatu vya wife na makorokocho mengine mpaka begi alilochukua ni begi letu na pesa pia nilizokuwa nimezifuata nazo nikakuta kaziiba. Hapo alikuwa ana siku 5 tu tangu aje.

Tulijifunza kutokuacha mlango wa chumbani kwetu wazi na kwa sababu tulikuwa na mtoto mdogo basi kila asb tulikuwa tunamuhamisha mtoto kwenye chumba kingine na kufunga mlango wa chumbani.. Mwanzo tulikuwa tunamuacha mtoto kalala na tulikuwa tunamwambia dada kuwa mtoto akiamka amchukue kisha afunge mlango ndio akapata chansi ya kutuibia.
 
Moja ya sababu watu wanapunguza kutafuta watoto ni changamoto ya malezi. Wasaidizi wa nyumbani wamekuwa changamoto sana.

Nakumbuka wife alisafiri two weeks kaniachia msingidani, katoto keupe kazuri, kafupi...ni kipindi kigumu sana nilipitia.

Alitumia mbinu zote nimkule ila kumbe nilikuwa mvumilivu sana...!
 
Jamani usingerudi ingekuaje hapo? 😭😭😭watoto Mungu awalinde
 
Moja ya sababu watu wanapunguza kutafuta watoto ni changamoto ya malezi. Wasaidizi wa nyumbani wamekuwa changamoto sana.

Nakumbuka wife alisafiri two weeks kaniachia msingidani, katoto keupe kazuri, kafupi...ni kipindi kigumu sana nilipitia.

Alitumia mbinu zote nimkule ila kumbe nilikuwa mvumilivu sana...!
😅😅😅lakini ulikua unatamani?
 
Back
Top Bottom