Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Kila Kona nchini watu wamekuwa wakilalamikia Visa vinavyofanywa na Dada wa Kazi.

Visa hivyo hufanyiwa Watoto, na hata Ma Boss wenyewe waliowaajiri.

Wengine hufikia hatua ya kueleza kuwa pengine malezi yanasababisha visa hivyo kutokea.

Mfano wa Kisa kimoja huu hapa chini
Mwezi Desemba mwaka jana mi na ma wife kupitia connection ya dalali tulipata binti wa kazi kutoka moja ya wilaya zamkoa wa Songwe.

Binti alikuwa na mchangamko wa kupitiliza mpaka nyumba nzima tukashangaa.
Mara aanze kuvaa vitaiti vya kubana na kuanza kujibinua binua matakombele zangu.
Basi machale yakanicheza nikamwambia wife huyu binti ni kimeo.
Basi binti kila akiona mwanaume ni kumparamia,nikaanza kuwa na wasiwasi maana nina vijana wa kiume japo hawaishi nyumbani mpaka wakati wa likizo.

Wasiwasi wangu ukanituma nimwombe wife amfanyie vipimo vya HIV ili kufahamu afya yake. Ile kumpima tu binti, kitu imesoma positive ila mwenyewe wala hashtuki wala nini.
Mtaani akaanza kutongoza kila kijana wa kiume aliekatiza mbele zake, bodaboda na wahuni wa mtaa wakaanza kujipigia kila alie weza.
Kila tulipo taka kumshauri kuhusu kuanza kutumia dawa za kufubaza hakuonesha kujali wala kutusikia, sanasana aliishia kutucheka tu kitu kilichoonyesha kuwa tayari alishajikatia tamaa ya maisha.
Ilikuwa inasikitisha sana kwani kiumri alikuwa bado mdogo sana miaka 17.
Baada ya kushindwana tabia za kutojijali ilibidi tumrudishe kwao japo kwa mbinde sana kwani alikuwa anagoma kurejea kwao.
 
Mwezi Secemba mwaka jana mi na ma wife kupitia connection tulipata binti wa kazi kutoka moja ya wilaya zamkoa wa Songwe.

Binti alikuwa na mchangamko wa kupitiliza mpaka nyumba nzima tukashangaa.
Mara aanze kuvaa vitaiti vya kubana na kuanza kujibinua binua mbele zangu.
Basi machale yakanicheza nikamwambia wife huyu binti ni kimeo.
Basi binti kila akiona mwanaume ni kumparamia,nikaanza kuwa na wasiwasi maana nina vijana wa kiume japo hawaishi nyumbani mpaka wakati wa likizo.

Wasiwasi wangu ukanituma nimwombe wafe amfanyie vipimo vya HIV ili kufahamu afya yake. Ile kumpima tu binti kitu imesoma negative ila mwenyewe hashtuki wala nini.
Mtaani akaanza kutongoza kila kijana aliekatiza mbele zake, bodaboda wakaanza kujipigia kila alie weza.
Kila tulipo taka kumshauri kuhusu kuanza kutumia hakuonesha kujali wala kutusikia sanasana aliishia kutucheka tu kitu kilichoonyesha kuwa tayari alishajikatia tamaa ya maisha.
Ilikuwa inasikitisha sana kwani kiumri alikuwa bado mdogo sana miaka 17.
Baada ya kushindwana tabia za kutojijali ilibidi tumrudishe kwao japo kwa mbinde sana kwani alikuwa anagoma kurejea kwao.
Sasa ndo unamuachia watoto mtu kama huyo atawafundisha nini?
 
Kuna uyo alikuwa jirani yetu alikuwa anaachiwa nyumba pekee yake bosi ansafiri na wanaye kipindi cha likizo kipindi hicho nimemaliza f4 ananicheki niende maana alikuwa ana nyeg balaa Mzee nikawa ni wendo WA kupeleka fire tu uliniponya sana wewe mtoto WA kimbulu eliza...
😅😅
 
Sitaki hata kukumbuka,alikuwa anashinda anaongea na simu tangu anapoamka mpaka anapoenda kulala kama customer care vile..Nikirudi kazini namuona mtoto ana njaa kabisa,alikuwa anajuana na watu ambao hata mimi sijawahi kuwaona.Anaweza akamuacha mtoto ndani chap akakimbia kwenye miadi yake,sitaki hata kukumbuka.
Wanapenda sana kuongea na Simu
 
Enzi hizo niko sijui form 1 tunaishi kota wageni wakija tunakua na uhaba wa byumba tunalala na dada wa kazi yule binti alikuwa akilala sketi inafunuka mapaja yanabaki wazi mzee mzima naamka naanza kumshikashika mapaja yeye akiwa anakoroma
😜😜😜
 
Hoho lina tako wewe utakuwa kama ndimu

Mi enzi hizo za kuishi na msichana wa kazi bhana nikapataga mmoja giant linanizidi urefu na mwili kumbe alijua anakuja kufanya job za shamba, sasa kuja anakutana na shughuli za ndani ndogo ndogo nyumba ina tiles za kioo, kumbe nilipokuwa nikitoka ni mwendo wa kuteleza na kula mweleka nikirudi hasemi mopa na mifagio kavunja yote! 😅😅 wakati huo mi mwnyw kidogodogo tu sikuelewa siku nikapeleka samaki dah dada akawapika hivyo hivyo bila kukwangua magamba wala kutoa utumbo nikaanza kulalamika alivyoharibu mboga eeeeh si ndo kuniambia yeye amechoka kwanza nyumba ina majini yanamuangusha kila siku nataka kumtoa kafara, mara nilijua kuna kazi za shamba, nikasema yesheyesheee tunafanyaje sasa akasema nimpe chake aende, sikubishana nae alikuwa na wiki 2 nikamlipa akaondoka ila ndo alijipodoa km anaenda kufunga ndoa😅😅😅 tangu hapo niliacha kuishi na maids mpaka leo ila nitamtafuta tena hivi karibuni
Kumbe unakuwaga mpole ukikutana watu wa hivo ...
 
Mwezi Secemba mwaka jana mi na ma wife kupitia connection tulipata binti wa kazi kutoka moja ya wilaya zamkoa wa Songwe.

Binti alikuwa na mchangamko wa kupitiliza mpaka nyumba nzima tukashangaa.
Mara aanze kuvaa vitaiti vya kubana na kuanza kujibinua binua mbele zangu.
Basi machale yakanicheza nikamwambia wife huyu binti ni kimeo.
Basi binti kila akiona mwanaume ni kumparamia,nikaanza kuwa na wasiwasi maana nina vijana wa kiume japo hawaishi nyumbani mpaka wakati wa likizo.

Wasiwasi wangu ukanituma nimwombe wafe amfanyie vipimo vya HIV ili kufahamu afya yake. Ile kumpima tu binti kitu imesoma negative ila mwenyewe hashtuki wala nini.
Mtaani akaanza kutongoza kila kijana aliekatiza mbele zake, bodaboda wakaanza kujipigia kila alie weza.
Kila tulipo taka kumshauri kuhusu kuanza kutumia hakuonesha kujali wala kutusikia sanasana aliishia kutucheka tu kitu kilichoonyesha kuwa tayari alishajikatia tamaa ya maisha.
Ilikuwa inasikitisha sana kwani kiumri alikuwa bado mdogo sana miaka 17.
Baada ya kushindwana tabia za kutojijali ilibidi tumrudishe kwao japo kwa mbinde sana kwani alikuwa anagoma kurejea kwao.
Negative maana yake Hana Ukimwi mbona kama umeandika tofauti
 
Back
Top Bottom