Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Jamani usingerudi ingekuaje hapo? 😭😭😭watoto Mungu awalinde

Ni Mungu tu alinirudisha nyumbani hiyo siku manake sijui ingekuwaje kama wote tungerudi jioni n wife, manake watoto wangeshinda njaa wangelia mpaka wangelala wenyewe tu.. ila baadae tuliweka ndugu pia japo ndugu wana maudhi lakini bora kuwa na ndugu pamoja na dada wa kazi.. akiwa mwenyewe madhara ni makubwa zaidi
 
Mungu ana njia nyingi sana ya kuokoa watu wake. Majirani kwa nini hawakuwapigia simu wakimuona anaondoka na mabegi
 
Nilochogundua,
1. wazazi wa wadada wa kazi huwa wanajua kabisa matatizo ya watoto wao. Mfano tabia zosizofaa, mpaka wanaamua bora akafanye kazi.
2. Wadada wa kazi wengi tabia zao zinafanana, akili zao sawa, wana akili ndogo kuliko kawaida.
3. Umalaya
4. Ushirikina
5. Wapo wazuri na wanaofanya kazi vizuri, huishia kutoroshwa na majirani.
6. Madalali ndo wanaowaongoza, wanawapa kiburi.
 
kuna siku nilirudi home mara moja kuchukua pesa niliyokuwa nimeisahau ili nirudi kazini chap. Ilikuwa kama saa 5 kasoro hivi ile kufika nyumbani nikakuta watoto wangu wawili mmoja ana miezi 8 mwingine miaka 2 wapo wenyewe dada hayupo nikajua kaenda dukani labda. Nikakaa na watoto pale walikuwa hata hawajala wala hawajaogeshwa mana walikuwa bado na nguo za kulalia. Baada ya nusu saa kupita nikampigia wife kumuuliza huyu house girl vipi mbona hayupo na yeye wife alikuwa kazini, akashangaa kuwa hajamtuma popote. Nikwauliza majirani wakasema walimuona katoka asb akiwa na begi.

Kuingia chumbani nikakuta kaiba nguo na viatu vya wife na makorokocho mengine mpaka begi alilochukua ni begi letu na pesa pia nilizokuwa nimezifuata nazo nikakuta kaziiba. Hapo alikuwa ana siku 5 tu tangu aje.

Tulijifunza kutokuacha mlango wa chumbani kwetu wazi na kwa sababu tulikuwa na mtoto mdogo basi kila asb tulikuwa tunamuhamisha mtoto kwenye chumba kingine na kufunga mlango wa chumbani.. Mwanzo tulikuwa tunamuacha mtoto kalala na tulikuwa tunamwambia dada kuwa mtoto akiamka amchukue kisha afunge mlango ndio akapata chansi ya kutuibia.
Dduuhhh. Wtt tunaowacha na afisa malezi wanakuwa kwa rehma za Mungu.
Mie niliwakuta wangu wa miaka 9 na 3 wameachwa na boss wao tangu mchana mpk mie narudi saa 1 usiku. Mdogo keshakula tomato ya chips peptang nusu ya chupa. Mkubwa kalala habari hana maana alikuwa kama pono kwa kulala. Kurudi boss masaa kadhaa mbele nikampa hela yake. Nikamwambia kusanya mizigo yako urudi ulokoenda tangu mchana.
Kuwaambia majirani ndio wananipasha kumbe ndio ilikuwa kazi yake, nikitoka na yeye katoka sema hio siku ndio ilikuwa km fumanizi
 
Mungu aliwalinda hakika
 
Nilochogundua,
1. wazazi wa wadada wa kazi huwa wanajua kabisa matatizo ya watoto wao. Mfano tabia zosizofaa, mpaka wanaamua bora akafanye kazi.
2. Wadada wa kazi wengi tabia zao zinafanana, akili zao sawa, wana akili ndogo kuliko kawaida.
3. Umalaya
4. Ushirikina
5. Wapo wazuri na wanaofanya kazi vizuri, huishia kutoroshwa na majirani.
6. Madalali ndo wanaowaongoza, wanawapa kiburi.
Kwenye madalali hapo kazi ipo? Waongo hatari
 
Kuna mmoja huyo aliacha sim mezani sjui ni pepo gani lilinituma nisome sms zake, baada ya kufungua sms nikakuta wanachati na Jamaa kanamwambia kuwa boss wake wa kiume anakataka hapo nikashindwa kuelewa boss yupi? Nikahisi labda ni sms za mda kabla hakajafika kwangu ila baada ya kukagua tarehe nikagundua kalikuwa kanamaanisha ni mimi... ile hali sijawahi hata kuonesha dalili za kukataka katoto kakisukuma kana sura ya baba.

Nilipata moto baadae kukauliza kakakosa majibu kakawa kanajing'atang'ata tu, nikachukua video ya ile sms maana kalikuwa na kisim cha batan nikarekodi ile Video kisha nikaitunza wife alipokuja nikamwonesha, hapo akafanya kazi yake ya kukatimua, ila hadi sasa nina shida inabidi nitafte kimeo kingine maana peke yetu hatuwezi.
 
😅😅au ungekaacha kwanza
 
Nilochogundua,
1. wazazi wa wadada wa kazi huwa wanajua kabisa matatizo ya watoto wao. Mfano tabia zosizofaa, mpaka wanaamua bora akafanye kazi.
2. Wadada wa kazi wengi tabia zao zinafanana, akili zao sawa, wana akili ndogo kuliko kawaida.
3. Umalaya
4. Ushirikina
5. Wapo wazuri na wanaofanya kazi vizuri, huishia kutoroshwa na majirani.
6. Madalali ndo wanaowaongoza, wanawapa kiburi.
Namba 5 na 6 zinanitesa sana mm n familia yangu. Kubwa kwa dada wa sasa hapa kwangu ni kugawa vitu kwa majilani sio poa. Pia anaongea na simu kuliko namba 100. Sema tumeagiza mwingine tarehe 10 anakuja watapishana na uyo kimeo w sasa.
All the best
 
Mungu atusaidie

kuna mmoja huyo alikuwa akipika mchuzi wa nazi au chakula chochote chenye mchuzi wa nazi kama ndizi nk lazima anywe mchuzi wote alafu anajaza maji ukimuuliza hajibu na alichojaza maji hali

Mwingine alikuwa mwembamba toka alikotoka aliambiwa akifika ajitahidi kula ili anenepe atoke tako aolewe mapema napia anaweza kumteka baba mwenye nyumba akawa mother house🤣🤣🤣
ilikuwa kila ninapoenda anavizia kunichungulia nikitoka nje yumo nikamuuliza mbona unanichunga sana na kunichungulia kunani hajibu kumbe anaangalia msambwanda🤣🤣🤣🤣
Sikuhiyo nipo chumban nasikia mtu anaangua kilio nikatoka mbio namuuliza nin tatizo umaumwa
Anajibu hapana
nini shida hajibu huku anaendelea kulia
IKabidi ni mbembeleze akaanza kufunguka
Hebu niangalie mwili wangu ulivyo
Nikamuuliza upoje
Hebu ona nilivyokonda hata sinenepi kama fulani akamtaja binti aliyeondoka ndio akaja yeye
Walikuwa majirani mwenzie alienda kuolewa na mzee kwa shinikizo la wazazi baada ya kula mahari
Nikamwambia kwanza una wiki tu toka ufike subiri mwili uzoee utanenepa
Alafu jikubali ulivyo huo ndio mwili wako
Kidogo akatulia kulia
Mwili wake ni ule hauna shukran hata ule vipi zaidi atang'aatu haongezeki nyama
Nilikuja kukaanae na kumdadisi
WAnaole hata kama hawajavunja ungo kwa tamaa ya wazazi ndio maana wakifika wanaambiwa wajitahidi kula ili wanenepe waolewe na ilipofika mwaka tu wakamtaka haraka waka mthaminishe wagogo mungu anawaona
 
Back
Top Bottom