Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Moja ya masharti ambayo huwa nawapa hawa maafisa malezi ni kutomiliki simu , maana akiwa na simu ni shida nyingine.
Sasa kuna huyo nililetewa kutoka kanda ya ziwa, tukiondoka anaunga nyumba na yeye anaondoka , mwezi mmoja tu analiwa na wanaume kumi +, wapo vijana wa kawaida, bodaboda, bajaj na kuna mmoja mtangazaji wa radio.
Sasa siku anaingia 18 zangu , kapewa maelekezo na Wife, akafanya tofauti then akasingizia eti baba ndo alisema.
Alikula bakora na kesho yake nikampandosha gari kumridisha kwao, kumpigia mama yake kumbe anajua mwanae ni malaya âž•
Kuna mmoja nilikuwa nae, jioni narudi nikamkuta kafunga mtaa anamwaga matusi yale mambostiki😀 na mabint flani mcharuko wa kitaa, wife alikuwa mjamzito amejitahidi kumuonya ameshindwa, nilovyomuona nikajua huyu binti hayupo sawa!, kesho nikampigia mamake akambia ana tatizo la akili lakini halitokei mara kwa mara...chap nikamndisha Abood kwenda kwao Moro.
 
Heee Jamani kwa nini walikuletea sasa?
 
kuna siku nilirudi home mara moja kuchukua pesa niliyokuwa nimeisahau ili nirudi kazini chap. Ilikuwa kama saa 5 kasoro hivi ile kufika nyumbani nikakuta watoto wangu wawili mmoja ana miezi 8 mwingine miaka 2 wapo wenyewe dada hayupo nikajua kaenda dukani labda. Nikakaa na watoto pale walikuwa hata hawajala wala hawajaogeshwa mana walikuwa bado na nguo za kulalia. Baada ya nusu saa kupita nikampigia wife kumuuliza huyu house girl vipi mbona hayupo na yeye wife alikuwa kazini, akashangaa kuwa hajamtuma popote. Nikwauliza majirani wakasema walimuona katoka asb akiwa na begi.

Kuingia chumbani nikakuta kaiba nguo na viatu vya wife na makorokocho mengine mpaka begi alilochukua ni begi letu na pesa pia nilizokuwa nimezifuata nazo nikakuta kaziiba. Hapo alikuwa ana siku 5 tu tangu aje.

Tulijifunza kutokuacha mlango wa chumbani kwetu wazi na kwa sababu tulikuwa na mtoto mdogo basi kila asb tulikuwa tunamuhamisha mtoto kwenye chumba kingine na kufunga mlango wa chumbani.. Mwanzo tulikuwa tunamuacha mtoto kalala na tulikuwa tunamwambia dada kuwa mtoto akiamka amchukue kisha afunge mlango ndio akapata chansi ya kutuibia.
Yote tisa,kumi ni kuacha watoto wadogo wenyewe,inasisimua kwakweli
 
Dduuhhh. Wtt tunaowacha na afisa malezi wanakuwa kwa rehma za Mungu.
Mie niliwakuta wangu wa miaka 9 na 3 wameachwa na boss wao tangu mchana mpk mie narudi saa 1 usiku. Mdogo keshakula tomato ya chips peptang nusu ya chupa. Mkubwa kalala habari hana maana alikuwa kama pono kwa kulala. Kurudi boss masaa kadhaa mbele nikampa hela yake. Nikamwambia kusanya mizigo yako urudi ulokoenda tangu mchana.
Kuwaambia majirani ndio wananipasha kumbe ndio ilikuwa kazi yake, nikitoka na yeye katoka sema hio siku ndio ilikuwa km fumanizi
Majirani wanafiki wakubwa,
 
Wangu nilimsoma akiona wageni ananuna hapendi wageni cjui kwa nn ila ni binti poa sana ninae zaidi ya mwaka anapenda watoto yuko committed sana na kazi zake mazuri yake ni mengi kuliko mabaya yake nachkulia ni mapungufu ya kawaida kwa binadamu yyte mambo yanaenda
Watu wengi tu hasa wanawake hawapendi wageni, ni tabia ya uroho ulafi na uchoyo ninae ndg wa karibu yupo hivyo hivyo, huwa namshangaa anakuwa mchoyo kwa vitu vya kwangu.......... ajabu sana
 
Familia tusali sana kwa ajili ya watoto wetu...na familia kwa ujumla..Mungu huwa anatenda bila ww kujua...unakuta mtu kaja wiki 2 kaondoka au amefanya jambo baya umemtimua..ujue ni Mungu kakuonyesha la sivyo yangeweza kutoakea mabaya zaidi...
Mm nimekaa na msichana kwa miaka 9 nimezaa wtt wangu wote nikiwa nae...kaondoka sasa kashakua mtu mzima ..ndo nianze upyaaa...sijui naanzia wapi...
Dah,pole kazi unayo.Yaani kumpata mdada mzuri ni mtihani.
 
Watu wengi tu hasa wanawake hawapendi wageni, ni tabia ya uroho ulafi na uchoyo ninae ndg wa karibu yupo hivyo hivyo, huwa namshangaa anakuwa mchoyo kwa vitu vya kwangu..........

Watu wengi tu hasa wanawake hawapendi wageni, ni tabia ya uroho ulafi na uchoyo ninae ndg wa karibu yupo hivyo hivyo, huwa namshangaa anakuwa mchoyo kwa vitu vya kwangu.......... ajabu sana
Mimi binafsi ningekuwa hivo kwamba sipendi wageni nyumbani kwangu Nadhani ningeumwa ugonjwa wa moyo maana kwangu ninao ni kama wageni wa kudumu na wapitaji wa muda mfupi na haipiti miezi mitatu sijapata wageni na nilishajiandaa kisaikolojia kwa hilo na wengi wao ni ndugu wa mume..nachoshukuru wengi wao ni wanaume so hawana magubu kama wanawake ..wapo waliojipanga na wameanza maisha yao na wapo wanaojitafuta tena wengine wakiwa na wake zao naishi nao hatujawah kugombana na huwa nawaandaa wadada wa kazi pia wasione ajabu kuona wageni kwangu hawaishi.
Wapo baadhi wanakwaza wadada hasa wale wanaokuja na wake zao mtu analala zaidi ya siku nne na mumewe siku akiondoka hafui shuka hasafishi chumba wala choo walichokuwa wanatumia so wadada wanakwazika kwa hilo ila utafanyaje kwa case km hizo inabidi tu awajibike kishingo upande ni sehemu ya kazi yake japo sio ustaarabu maana wahakulala loji .
 
Au kazi zinakuwa nyingi?
Akiongezeka mgeni hata mmoja ujue na kazi pia zinaongezeka ..hasa ukute mgeni mwingine hajigusi kwa kazi yoyote kusaidia yeye anachojua kutumia tu kuosha haimuhusu,hafui hata mashuka yake hasafishi anapolala, kama wa kiume hata kusafisha mazingira ya nyumbani,kuhudumia mifugo hawezi so dada analemewa na mgeni hana msaada kwake so anamchukia na kuchukia kazi . Sio siri kuna baadhi yao wanakwaza sana hasa wasiojielewa na wasio na value yyte katika familia..raha ya mgeni aondoke mummis bwana kwa msaada wake wa hali sio lazima atoe mali
 
Ndio kabisa, umeongea vema sana
 
Mimi binafsi ningekuwa hivo kwamba sipendi wageni nyumbani kwangu Nadhani ningeumwa ugonjwa wa moyo maana kwangu ninao ni kama wageni wa kudumu na wapitaji wa muda mfupi na haipiti miezi mitatu sijapata wageni na nilishajiandaa kisaikolojia kwa hilo na wengi wao ni ndugu wa mume..nachoshukuru wengi wao ni wanaume so hawana magubu kama wanawake ..wapo waliojipanga na wameanza maisha yao na wapo wanaojitafuta tena wengine wakiwa na wake zao naishi nao hatujawah kugombana na huwa nawaandaa wadada wa kazi pia wasione ajabu kuona wageni kwangu hawaishi.
Wapo baadhi wanakwaza wadada hasa wale wanaokuja na wake zao mtu analala zaidi ya siku nne na mumewe siku akiondoka hafui shuka hasafishi chumba wala choo walichokuwa wanatumia so wadada wanakwazika kwa hilo ila utafanyaje kwa case km hizo inabidi tu awajibike kishingo upande ni sehemu ya kazi yake japo sio ustaarabu maana wahakulala loji .
Sio vizuri kununa kisa wageni wamekuja hawaji kula kumaliza usimtetee huyo afisa
 
Majirani waliokuwa nyumbani muda huo ni wasichana wenzake wa kazi sababu wenye nyumba nao walikuwa kazini. Sasa huwezi jua hata kama aliwaambia ukweli au vipi tuliamua kuachilia mbali tu
Ndio maana nasema kila mara mke hatakiwi kufanya kazi
Majukumu ya mke ni;
(1) Kuzaa watoto
(2) Kutunza familia (baba na watoto)
(3) Kutunza nyumba
 
Back
Top Bottom