Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

Kitanda Cha chuma kitafaa hasa ukiwa unacheza mechi za nyumbani dhidi ya mama watoto F.C πŸ˜³πŸ‘€
 
Wenzangu wa kwenda na fashion mpo!! Mi habari ya kudumu miaka mingi wala sielewi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani nitengeneze kitanda Cha kudumu miaka 20, wakati fashion zinabadilika kila uchwao
 
Ukipata cha chuma kiwe na sofa n unyama sana hapo zinapigwa ligi zote ndondo hadi premier league kama n mbao chukua mninga level ya epl hio hio m bedi sofa mingi wanachakachua mechi za mtoano tuh kufuzu makundi hakifai kitachakaa hicho n kwa ajil ya mapumziko nje ya msimu
 
Best option ni kwenda kwa wauza mbao nunua Kwa mahitaji ya kitanda chako then muite fundi atengeneze hapo kwako hapo hutaibiwa
 
Cha mbao ni balaa zikiingia kunguni kama vita ya Drc!
Kama joiner hayupo makini kinaingiza kunguni kwenye mazingira machafu lakini mbao ni fashionable haipitwi na wakati kama chuma, nakumbuka zamani vilikuwepo vitanda vinaitwa Banco viliwika sana miaka ya 70s vikafutika sasa vimekuja vya square na round pipes finishing yake siyo nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…