Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mkuu sijakuelewa unamaanisha nini!. Uzi unahusiana na huyo SAS member wewe unakuja na habari zisizo na kichwa wala miguu!.Wewe umeandika kipumbavu sana hasa uliposifia mtu kufanya hivyo kwa eti boss!! Yaani boss yupo na boss afu unampiga finger? Huu kwako ndio ushujaa? Unatia kinyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha; wale wanasiasa hawana mafunzo yoyote hata mie niliyeoitia JKT miaka hiyo walau afwazwali.Nimewakumbuka wale waliompiga risasi tundu lisu wametoka kikosi gani
Umejuaje? Acha kutudangnyaCorrection. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.
SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.
Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa naheshimu mawazo yako lakini nahisi leo umeandika upuuzi. Hapo hatishii kuua anakwenda kuyaua magaidi, ndio maana yupo full kivita.
Huu uzi sio wa siasa zetu za CCM na CDM, mheshimu aliyeupandisha jukwaani.
Hahaha...Maana yangu ni kwamba hata wale wajomba wawili nyuma ya Ngosha na wao ni trained commandos kama huyu Muingereza pichani. Lengo langu ndilo hilo.Sasa ndugu Phillipo, ubora wa mwanajeshi unaonekana kwa kutishia kuua raia wa kawaidi au kupambana na watu wa aina yako ? Huyu SAS kapambana na wanejeshi wenzako ambao walikuwa wanafanya ugaidi ndiyo maana tukasema ni bora. Sasa huyo Mzenji wetu kaminya mbavu za raia wa kawaida na kutishia kuua halafu wewe unamleta hapa. Kazi kwelikweli.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuu Malcom, nilikuwa namaanisha kuwa hata wale wajomba wawili pembeni ya Ngosha na wao ni makomandoo kama huyo Muingereza pichani.Nadhani unafanya Red Herring hapa au wewe ndiyo umeandika upuuzi. Hapa tunazungumzia vikosi bora kijeshi ambavyo lengo lake ni kupambana na wanajeshi wengine au magaidi.
Wewe unaleta mambo ya Mzenji kutishia kuua kibosile. Hivi hii nai akili kweli ? Sasa huyo mzenji wako akishatishia kuua raia ndiyo anakuwa bora ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Troll historia inasema kwamba vikosi vya ulinzi na usalama vya Marekani kuanzia Intelijensi (OSS na CIA) hadi jeshi vilipata mafunzo makubwa sana kutoka kwa Muingereza. Yaani kama ambavyo Tanzania tulikuwa tunategemea Cuba, Urusi na Uchina, basi Marekani alikuwa anategemea sana Uingereza......Mazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth
Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army unit ya Marekani Wanao operate Katika Sea, Air na Land (combat) Interview na Mafunzo ya Navy Seal ni Magumu kuliko kikosi chochote cha Jeshi Ulimwenguni ni Vigumu sana kupambana nao wanajua Sana Kutumia Silaha na Kujilinda kwa kutumia miili yao Katika Tukio la Dusit walikuepo Navy Seal
Kuna British Special Air Service (SAS) hawa huwa hawaonekani Hovyo ni moja ya Vikosi bora wakiwa wamebobea katika mambo ya Kupambana na Ugaidi, na Kuokoa Mateka katlka Tukio la Dusit alikuepo mmoja ambaye alifika na Gari yenye namba za Ubalozi Akiwa na Mavazi ya Kulinda Mwili na Silaha na Alipambana na Magaidi Direct Mpaka Waingereza wenyewe wanashangaa kuwaona SAS wakipambana mchana kwani huwa wanapenda sana kufanya shughuli zao usiku.
SAS na Navy Seals ni watu waliondoka bila hata mkwaruzo wowote.
SAS huyu ana Kisu kipo tumboni hapo kinaonekana hapo kwa ajili ya mapambano ya Mkono kwa Mkono ana Pisto ana Hiyo Bunduki inayoitwa Modified Colt Canada Rifle Japo kichwani hana Helment huku akiwa katupia Jeans.
View attachment 997444
Najiuliza Kwenye Nchi zinazoendelea Elites Forces Unit kama hizi huwa zipo? Je ni kutokana na Uonevu wa Alshaabab Nchini Kenya Waliombwa waanzishe makazi yao nchini Kenya?
mkuu unaweza kujilinda; au upo kama mimi mkwara kidogo tu unapanda kwa gari unasepa unaepusha shari.Napenda sana vitu kama hivi,shukrani sana mkuu kwa huu uzi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hilo linafahamika mkuu Phillipo na wala halina ubishi wowote ule. Tena wanakuwa ni waliopikwa vizuri sana, kuna mwanajeshi wa Ubelgiji aliwahi kuja Tanzania miaka kama ya 2011 akasema kwamba anakuja kufundishwa na Tanzania. Sababu kuu akaema kwamba JWTZ wako vizur sana na ni rahisi kusoma Tanzania kuliko nchi nyingine.Nimekusoma mkuu Malcom, nilikuwa namaanisha kuwa hata wale wajomba wawili pembeni ya Ngosha na wao ni makomandoo kama huyo Muingereza pichani.
Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.
Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.
Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.
Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
brother usitulishe matango pori.Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce.
mkuu unaweza kujilinda; au upo kama mimi mkwara kidogo tu unapanda kwa gari unasepa unaepusha shari.
Vitu vizuri sana hivi naskia hata sisi TZ tupo vizuri sana ila sijui kama mafunzo bado tunategemea Cuba na Urusi tu.
Mara nyingi wanakuwa detached kwenye balozi za nchi husika.
usiniulize nilikuwa naingia kufanya nini
ndg GSU bado wapo active mpaka leo sio wakati wa moi tu.Uongo, GSU ilijulikana sana wakati wa moi nikiishi Nairobi
Hahahaha we jamaa mkorofi sasaNimewakumbuka wale waliompiga risasi tundu lisu wametoka kikosi gani
Wale mmmmmmh mgambo masikini wa akiliNimewakumbuka wale waliompiga risasi tundu lisu wametoka kikosi gani
Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.
Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.
Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.
Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app