Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

ISI walikuwa wakimlinda ndio. Lakin walifanya kosa kubwa sana siku hiyo.. ilifanyia chanjo ambayo iliweza ku idetfy kuwa moja ya watu wa karib wa osama yuko karib na hapo. .. ndipo c.i.a ilifuatilia location and kama bahat na osama na yeye alikuwemo kwenye ile nyumba.
Sasa nikwambie hivi waliyokuwa wanamlinda ni huyo jamaa ni ISI walipoona hana shida ndiyo wakaunguza picha hawakujua wenyewe kupitia hizo mbinu.

Ujasusi waache ISI kama walivyo, mmarekani aliletwa hakuja mwenyewe nyingine ni porojo zao tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ukikumbana naye ana kwa ana wala hapotezi risasi. Bisu tu tosha, unabaki ukikoroma.
 
SEAL hawako fit kiivyo. Ila SAS wako vizur.
Delta force ambao huwa wanafanya kazi kwa siri.. sometimes C.I.A huwaajiri kwa muda under SAD, kama CAG operators.
Delta force waasis wake ni SAS, new zealand SAS NZSAS, Australia.. majesh mengi europe uasis umeanza kutoka SAS. Na baadhi ya nchi za asia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyenzo si kigezo. Kama angekuwa ameagizwa kwa kujua kuwa kutatokea tukio angekuwa in full gear. Full gear means ungeona head gear combact.. ikiwa imejaa kila kitu.
Sema nayo inategemea na mazingira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo SAS alikuwa yuko kikazi nchini Kenya. Anatoa mafunzo. Siku ya tukio alikuwa mjini kwenye msele yake ila kwenye gari alikuwa na zana zake zote. Akavaa akawahi eneo la tukio.
 
Alikutwa akiwa eneo la tukio akiwa tayari amevalia kimapambano?
 
Kwahyo alikuwa akizurura na hzo silaha katika jiji la Nairobi kabla ya tukio? Au unataka uniaminishe kuwa baada ya tukio wanajeshi wa Kenya walimpa hzo silaha kisha akaungana nao kupambana na magaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa na mzigo wote kwenye gari. Aliposikia hilo tukio akavaa akaenda kusaidia.
 
Sasa kama akutumwa izo sare kazitoa wapi na hapo anapewa maelekezo na mtu aliyevaa bracelet ya bendera ya Kenya,je unataka kusema awajuani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanafichwa awazaliani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale jamaa pia SAS?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubalozin huwa kuna kila kitu. Tactical gia na silaha.
Rember tofauti na vikos vingine ex- SAS member huitwa kusaida wakat wa hatari..
So ni ishu ya sim na kuletewa vifaa vya kaz
Sasa kama akutumwa izo sare kazitoa wapi na hapo anapewa maelekezo na mtu aliyevaa bracelet ya bendera ya Kenya,je unataka kusema awajuani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho wakivunja tutofali vya udongo pale taifa full shangwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…