Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

Duh,alilionyesha facebook au instagram
 
Nikisema Sina vitu ambavyo Sina alafu siumii moyo kuvikosa itakuwa uwongo....

Nyie mlioweza hongereni.....binafsi hiyo roho Sina kabisa

Wanasema Get rich or die trying
Vitu ambavyo huna na haviwezi kukuumiza moyo ni vile ambavyo you can afford.
Mfano kuna watu wana hela ila unakuta ana Tecno ya 250,000 tu. Kuna muhindi ana apartments kibao halafu anatumia Toyota Premio huyu akisema hana LC300 na haimuumizi kichwa nitamuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ