Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

KC ana nyumba aiseee!! Umeona na ile bar yake sasa!!
Sema madungu nasikia mabovu yale ukinunua lazima likufie 🤣🤣🤣
 
ni mimi hapa sina Tecno huu ni mwaka wa 11 sasa
 
KC ana nyumba aiseee!! Umeona na ile bar yake sasa!!
Sema madungu nasikia mabovu yale ukinunua lazima likufie 🤣🤣🤣

Hahaha bar ya ukweli ,sina uhakika kuhusu madungu yake ,maybe washindani wake wanataka kumuharibia tu ,who knows? Biashara zina unafiki mwingi ,si umeona Niffer anavyopopolewa na kojic yake.
 
Mimi kuna vitu sina na vinanisumbua, kusema havinisumbui ntakua nadanganya.
Gari
Nyumba
Shamba
Elimu zaidi nk.

Ngoja niendelee kupambana.
Ah jamani mrembo unateseka wakati hivyo vitu ukisema unapata. Njoo nikugaie shamba hapa kinole uanze kujenga.
Gari ist mil15 sii nakuhonga tuu 🤣🤣🤣🤣
Elimu zaidi tena mwanetu cpa haitoshi😲😲😲
 
Nimekuelewa Mkuu... maelezo yamejitosheleza 🙏
 
Mimi binafsi sina IPhone na wala sijali kabisa, vipi wewe?
Binafsi Sina Dem, Sina mchepuko, Sina mpenzi, Wala sina mke na hainisumbui kichwa Wala sijali kabisa na Sina time nao

Wakijipendekeza kama siwaoni
 
Yaani mpaka umeweka UZI hapa JF halafu useme Iphone Haikusumbui.Inakusumbua Sana Mkuu....Kisichokusumbua hujakiweka hapa.
Unadhani sina uwezo wa kumiliki iPhone?

Sio kila mtu anapenda vitu vinavyotukuzwa na baadhi ya watu.
 
Mpenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…