Ni kitu gani ambacho hujawahi kujua ni gharama hadi ulivyokuwa mtu mzima?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja na kumwaga yaliyosalia. Mama alikuwa akilalamika kwamba mafuta yanaisha haraka. Lakini tangu nilipoanza kujitegemea, imekuwa nadra sana kwa chakula changu kuwa na mafuta ya ziada.

Ni kitu gani ulikuwa unatumia hovyo kipindi bado unaishi Nyumbani ila sasa umekuja kujua ni bei?
 
U

UJINGA UJINGA UJINGA.
Ujinga ni gharama sana nilivyo kuwa mdogo nilidanganywa mimi ni pilot n.k kumbe uwongo
Nilvyo kuwa mdogo nilipandikizwa ujinga mwingi ambao mbaka sasa ivi unanigharimu baada ya ku grow-up
 
Matumizi ya nyumbani kwa ujumla wake kuanzia bili za maji na umeme, vyakula na mahitaji yote aisee ukiwa mtoto feni huzimiz pasi unawasha kisha unaanza kutafuta nguo za kunyoosha, bafuni maji unafungua kwanza yamwagike huku unajishauri mda wa kuanza kuoga, dawa ya meno unabonyeza nyingi iwezekanavyo. Ila ukijitegemea vyote hivo unafanya kwa adabu
 
Afya ni gharama... watu wana usemi mmoja wakipuuzi "mshukuru Mungu tunavuta pumzi ya bure hatulipii"

Pumzi inalipiwa wakuu tena kwa gharama kubwa sana.

Cha pili ni utashi maarifa au tuseme akili... wakuu, kuna gharama kubwa sana kuwa smart na watu wakaelewa wewe ni smart (akili ze brain).

Gharama ya kuwa smart sio ya pesa ni wewe mwenye akili ndio utaona hiyo gharama mpaka ukubalike na watu kuwa wewe ni smart.
 
afya ni gharama... watu wana usemi mmoja wakipuuzi "mshukuru mungu tunavuta pumzi ya bure atulipii"

Pumzi inalipiwa wakuu tena kwa gharama kubwa sana.

Cha pili ni utashi maarifa au tuseme akili... wakuu, kuna gharama kubwa sana kuwa smart na watu wakaelewa wewe ni smart (akili ze brain)
gharama ya kuwa smart sio ya pesa ni wewe mwenye akili ndio utaona hiyo gharama mpaka ukubalike na watu kuwa wewe ni smart.
Poor Brain
 
Pumzi tunalipia vipi mkuu ..
Isije ikawa kulipia pumzi ni result ya kitu fulani huko nyuma
 
Back
Top Bottom