Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Mahusiano... ni gharama sana
Kiongozi mbona Kama umerusha jiwe gizani....halafu limenipata mimiVocha
Usiogope nchi huru hii comrade.Kiongozi mbona Kama umerusha jiwe gizani....halafu limenipata mimi
Sawa kiongoziππΎππΎππΎUsiogope nchi huru hii comrade.
UJINGA UJINGA UJINGA.Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja na kumwaga yaliyosalia. Mama alikuwa akilalamika kwamba mafuta yanaisha haraka. Lakini tangu nilipoanza kujitegemea, imekuwa nadra sana kwa chakula changu kuwa na mafuta ya ziada.
Ni kitu gani ulikuwa unatumia hovyo kipindi bado unaishi Nyumbani ila sasa umekuja kujua ni bei?
Ndio usemee kipi n kipi ss mdau mwenzangu wa Ile kituπ¬πUzi mzuri sana huu
Sahihi mnoMahusiano... ni gharama sana
Naunga mkono hoja.πUmaskini ni gharama sana.
Poverty is to expensive.
Anyone who has ever struggled with Poverty knows how extremely is expensive to be poor.
Poor Brainafya ni gharama... watu wana usemi mmoja wakipuuzi "mshukuru mungu tunavuta pumzi ya bure atulipii"
Pumzi inalipiwa wakuu tena kwa gharama kubwa sana.
Cha pili ni utashi maarifa au tuseme akili... wakuu, kuna gharama kubwa sana kuwa smart na watu wakaelewa wewe ni smart (akili ze brain)
gharama ya kuwa smart sio ya pesa ni wewe mwenye akili ndio utaona hiyo gharama mpaka ukubalike na watu kuwa wewe ni smart.
Pumzi tunalipia vipi mkuu ..afya ni gharama... watu wana usemi mmoja wakipuuzi "mshukuru mungu tunavuta pumzi ya bure atulipii"