Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Hahaha uko kama mimi yani napenda kukaa pekeangu tu ninaweza kwenda sehem nikakaa hata mwezi watu wasijue nipo.
 
Mimi hata mtaani sifahamiki
Na watu siwajui..nakumbuka 1st time nimeenda sokoni nilipotea njia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani huku ni kwetu


Aisee yani exactly kama mimi halafu watu nilionao huku wananiona wa ajabu eti mtu gani hutaki kuonekana mtaaniπŸ˜€

Hawajui kuna kundi la watu linaitwa introverts wanachojua huyu ana roho mbaya!
 
Aisee yani exactly kama mimi halafu watu nilionao huku wananiona wa ajabu eti mtu gani hutaki kuonekana mtaani[emoji3]

Hawajui kuna kundi la watu linaitwa introverts wanachojua huyu ana roho mbaya!
Mimi watu wasionijua walishanisema hadi wakachoka..ila siku mtu akibahatika kukaa kuongea na Mimi mwenyewe Anasema Kumbe wewe dada ni mpole hivi.
Mimi tunaweza tukaishi mtaa mmoja na tusionane hata mwaka mzima

Nyumbani tu kuna muda mama ananiforce nitoke nje uwanjani kupiga stori maana nakaa chumbani tu muda wote,nikishamaliza kazi basi ni chumbani tu.
 
Kujitunza rahaa,hapo kifuani kuna sindano yaani wakati akina fulani ni malapa!Hakuna kama kumtumikia Mungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila kukaa nyumbani kumenikinga na mengi sana...yaani huwa nawaza kama ningekuwa mzururaji huenda ningekuwa nishaharibika kitambo.

Japo muda wa kuzurura kutafuta hela umefika
 
Nategemea kibao cha "Tunauza mabarafu hapa" kitatundikwa muda si mrefu hapo kwenu. Na muuzaji utakuwa wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Toka nje mabaharia tukuone au utaki kaka zako wale ubwabwa 😝
 
Tatizo ulimuhurumia mshenzi, hurumia watu ambao nao wana huruma na wewe! Ukimuhurumia mtu mbinafsi ni tatizo. Jifunze kusoma tabia za watu hasa wakiwa nacho.
 
Sipendi kusafiri.
Huwa nasafiri basi tu unakuta Safari ni ya lazima.
Safari ikikaribia nawaza hadi nakonda.

Sipendi kuongea na simu.
Kuna muda inaweza iite na nisipokee na ninaiona kabisa.
Mara moja moja sana nalazimika kupokea.
Huu ni uongo a.k.a fix,,, wewe huyo hupendi kuongea na simu?🀣🀣🀣
 
Cha kufanya mie ntaongea na Mr. maana huwa tunakula nae chupa hapa 7 eleven! Anunue mashine bana ni laki 4 tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…