Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Yaani mimi maisha tu yananifanya nitembee.
Last week kahoma kalinibana,yaani nimekaa chumbani siku km 4 hivi sijatoka hata sebuleni..halafu nilikuwa naona kawaida,cha ajabu nilipotoka wakawa wananishangaa[emoji23][emoji23]

Ukinioa babe jitahidi kuwa na kila kitu nyumbani.. sipendi kuzurura mie, sipendi stori na watu, napenda kukaa mwenyewe na ikiwezekana Jenga nyumba porini huko tukakae huko
Hahaha uko kama mimi yani napenda kukaa pekeangu tu ninaweza kwenda sehem nikakaa hata mwezi watu wasijue nipo.
 
Mimi hata mtaani sifahamiki
Na watu siwajui..nakumbuka 1st time nimeenda sokoni nilipotea njia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani huku ni kwetu
Kumbe introverts ni wengi sana!
1599616080499_adobe.jpg
 
Mimi hata mtaani sifahamiki
Na watu siwajui..nakumbuka 1st time nimeenda sokoni nilipotea njia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani huku ni kwetu

Aisee yani exactly kama mimi halafu watu nilionao huku wananiona wa ajabu eti mtu gani hutaki kuonekana mtaani😀

Hawajui kuna kundi la watu linaitwa introverts wanachojua huyu ana roho mbaya!
 
Aisee yani exactly kama mimi halafu watu nilionao huku wananiona wa ajabu eti mtu gani hutaki kuonekana mtaani[emoji3]

Hawajui kuna kundi la watu linaitwa introverts wanachojua huyu ana roho mbaya!
Mimi watu wasionijua walishanisema hadi wakachoka..ila siku mtu akibahatika kukaa kuongea na Mimi mwenyewe Anasema Kumbe wewe dada ni mpole hivi.
Mimi tunaweza tukaishi mtaa mmoja na tusionane hata mwaka mzima

Nyumbani tu kuna muda mama ananiforce nitoke nje uwanjani kupiga stori maana nakaa chumbani tu muda wote,nikishamaliza kazi basi ni chumbani tu.
 
Kujitunza rahaa,hapo kifuani kuna sindano yaani wakati akina fulani ni malapa!Hakuna kama kumtumikia Mungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila kukaa nyumbani kumenikinga na mengi sana...yaani huwa nawaza kama ningekuwa mzururaji huenda ningekuwa nishaharibika kitambo.

Japo muda wa kuzurura kutafuta hela umefika
 
Mimi watu wasionijua walishanisema hadi wakachoka..ila siku mtu akibahatika kukaa kuongea na Mimi mwenyewe Anasema Kumbe wewe dada ni mpole hivi.
Mimi tunaweza tukaishi mtaa mmoja na tusionane hata mwaka mzima

Nyumbani tu kuna muda mama ananiforce nitoke nje uwanjani kupiga stori maana nakaa chumbani tu muda wote,nikishamaliza kazi basi ni chumbani tu.
Nategemea kibao cha "Tunauza mabarafu hapa" kitatundikwa muda si mrefu hapo kwenu. Na muuzaji utakuwa wewe 😂😂😂!!!

Toka nje mabaharia tukuone au utaki kaka zako wale ubwabwa 😝
 
Sipendi tabia yangu ya kuwa na huruma kupita kiasi.
Imenigharimu mambo mengi sana,kuna muda imeniingiza hadi kwenye madeni nikamhurumia mtu na kwenda kumkopea hela kwa mtu.
Kuna muda nilishashinda na njaa ili mwingine ale na bado akanilaumu
Kuna muda huruma ilinifanya nionekane mpumbavu
Tatizo ulimuhurumia mshenzi, hurumia watu ambao nao wana huruma na wewe! Ukimuhurumia mtu mbinafsi ni tatizo. Jifunze kusoma tabia za watu hasa wakiwa nacho.
 
Sipendi kusafiri.
Huwa nasafiri basi tu unakuta Safari ni ya lazima.
Safari ikikaribia nawaza hadi nakonda.

Sipendi kuongea na simu.
Kuna muda inaweza iite na nisipokee na ninaiona kabisa.
Mara moja moja sana nalazimika kupokea.
Huu ni uongo a.k.a fix,,, wewe huyo hupendi kuongea na simu?🤣🤣🤣
 
@Chakorii, again[emoji28][emoji28]

Hapo kwenye kuvaa kyupi tupo wengi, mimi sipendi naona tu kama iniwekea uzio, nikiwa nyumbani sivai kabisaaa labda niwe natoka au siku niamke na mood ya kuvaa

Sipendi pia kuosha vyombo na kupasi surali za Mr, yani naona kama ni kazi inayonifanya nijiskie naonewa sema tu sina jinsi inabidi nifanye

Sipendi pia kutoka au kuzurura kama Saint Anne, tena kama nipo likizo naweza kukaa ndani tu hata nje ya geti sitoki kama mwali
Cha kufanya mie ntaongea na Mr. maana huwa tunakula nae chupa hapa 7 eleven! Anunue mashine bana ni laki 4 tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom