Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Acha kabisaaaPole mkuu ndo hivyo tena hakuna namna..
Mimi sipendi kupigiwa pigiwa nikiwa buzy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisaaaPole mkuu ndo hivyo tena hakuna namna..
Mimi sipendi kupigiwa pigiwa nikiwa buzy
Hahaha uko kama mimi yani napenda kukaa pekeangu tu ninaweza kwenda sehem nikakaa hata mwezi watu wasijue nipo.Yaani mimi maisha tu yananifanya nitembee.
Last week kahoma kalinibana,yaani nimekaa chumbani siku km 4 hivi sijatoka hata sebuleni..halafu nilikuwa naona kawaida,cha ajabu nilipotoka wakawa wananishangaa[emoji23][emoji23]
Ukinioa babe jitahidi kuwa na kila kitu nyumbani.. sipendi kuzurura mie, sipendi stori na watu, napenda kukaa mwenyewe na ikiwezekana Jenga nyumba porini huko tukakae huko
Mimi hata mtaani sifahamikiHahaha uko kama mimi yani napenda kukaa pekeangu tu ninaweza kwenda sehem nikakaa hata mwezi watu wasijue nipo.
Kumbe introverts ni wengi sana!Mimi hata mtaani sifahamiki
Na watu siwajui..nakumbuka 1st time nimeenda sokoni nilipotea njia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani huku ni kwetu
HakikaKumbe introverts ni wengi sana!View attachment 1569704
Kujitunza rahaa,hapo kifuani kuna sindano yaani wakati akina fulani ni malapa!Hakuna kama kumtumikia MunguHakika
Nyumbani ndiyo sehemu yangu pekee ninayoipenda.
Mimi hata mtaani sifahamiki
Na watu siwajui..nakumbuka 1st time nimeenda sokoni nilipotea njia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani huku ni kwetu
Mimi watu wasionijua walishanisema hadi wakachoka..ila siku mtu akibahatika kukaa kuongea na Mimi mwenyewe Anasema Kumbe wewe dada ni mpole hivi.Aisee yani exactly kama mimi halafu watu nilionao huku wananiona wa ajabu eti mtu gani hutaki kuonekana mtaani[emoji3]
Hawajui kuna kundi la watu linaitwa introverts wanachojua huyu ana roho mbaya!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kujitunza rahaa,hapo kifuani kuna sindano yaani wakati akina fulani ni malapa!Hakuna kama kumtumikia Mungu
Nategemea kibao cha "Tunauza mabarafu hapa" kitatundikwa muda si mrefu hapo kwenu. Na muuzaji utakuwa wewe 😂😂😂!!!Mimi watu wasionijua walishanisema hadi wakachoka..ila siku mtu akibahatika kukaa kuongea na Mimi mwenyewe Anasema Kumbe wewe dada ni mpole hivi.
Mimi tunaweza tukaishi mtaa mmoja na tusionane hata mwaka mzima
Nyumbani tu kuna muda mama ananiforce nitoke nje uwanjani kupiga stori maana nakaa chumbani tu muda wote,nikishamaliza kazi basi ni chumbani tu.
Tatizo ulimuhurumia mshenzi, hurumia watu ambao nao wana huruma na wewe! Ukimuhurumia mtu mbinafsi ni tatizo. Jifunze kusoma tabia za watu hasa wakiwa nacho.Sipendi tabia yangu ya kuwa na huruma kupita kiasi.
Imenigharimu mambo mengi sana,kuna muda imeniingiza hadi kwenye madeni nikamhurumia mtu na kwenda kumkopea hela kwa mtu.
Kuna muda nilishashinda na njaa ili mwingine ale na bado akanilaumu
Kuna muda huruma ilinifanya nionekane mpumbavu
Huu ni uongo a.k.a fix,,, wewe huyo hupendi kuongea na simu?🤣🤣🤣Sipendi kusafiri.
Huwa nasafiri basi tu unakuta Safari ni ya lazima.
Safari ikikaribia nawaza hadi nakonda.
Sipendi kuongea na simu.
Kuna muda inaweza iite na nisipokee na ninaiona kabisa.
Mara moja moja sana nalazimika kupokea.
Nani anakuudhi huyo mrembo?Sipendi kabisa kukasirika na kukosa amani kwa namna yoyote ile
Huwa kuna muda inanitokea basi tu
Cha kufanya mie ntaongea na Mr. maana huwa tunakula nae chupa hapa 7 eleven! Anunue mashine bana ni laki 4 tu 😂😂😂@Chakorii, again[emoji28][emoji28]
Hapo kwenye kuvaa kyupi tupo wengi, mimi sipendi naona tu kama iniwekea uzio, nikiwa nyumbani sivai kabisaaa labda niwe natoka au siku niamke na mood ya kuvaa
Sipendi pia kuosha vyombo na kupasi surali za Mr, yani naona kama ni kazi inayonifanya nijiskie naonewa sema tu sina jinsi inabidi nifanye
Sipendi pia kutoka au kuzurura kama Saint Anne, tena kama nipo likizo naweza kukaa ndani tu hata nje ya geti sitoki kama mwali
yaaaani mwee mi ikifika siku ya kufua nnavyolalamika utafikiri nimesaidiwa kuvaa😂😂
We pia haupendi kufua mama?
Ningeshangaa hapa kama ungeongea kinyume na hivyo.aah thubutu apa penyewe natamani ata mtu anisuprise na muamala 😂😂😂😂