Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue Mimi sometimes nasemwa Sana kuwa najisikia.
Binadamu gani sitaki kujichanganya na watu..ila najichanganyaga tu j2 kwa Sababu tu sina namna na nikiwa na mama yaani ndio tutasalimia watu mweee hadi nachoka
Sikushangai mtakatifu ila nafikiri ni kwa sababu kuna maisha mengine ya kazi na mengine bado hujajichanganya nayo..pengine
 
I love you now
Ila kama hunipendi usiniambie na we we[emoji4][emoji23]
I love u three mdogo wangu..
Siwezi kukwambia ila ukikosea nakwambia ukweli siwezi kukuficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…