Ni kitu gani ambacho huwezi kukirudia 2025?

Fni

Member
Joined
Jan 1, 2025
Posts
47
Reaction score
41
Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja.

So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote

Wew je ni kitu gani huwezi rudia huu mwaka?
 
You are the master of your own destiny..! Trust with sentiment...!!!!
 
Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja.

So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote

Wew je ni kitu gani huwezi rudia huu mwaka?
I don't trust
 
Sina cha kuacha bali ni kundeleza nilivyoanza na kutafuta vingine vipya...nilishajiwekea kanuni na misingi yangu Miaka mingi iliyopita.
 
Bora yako kwaiyo kaz iendelee au cyo
Sina cha kuacha bali ni kundeleza nilivyoanza na kutafuta vingine vipya...nilishajiwekea kanuni na misingi yangu Miaka mingi iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…