Ni kitu gani ambacho huwezi kukirudia 2025?

Ni kitu gani ambacho huwezi kukirudia 2025?

Ukiwa na pesa nyingiiii..
Matumizi yake yanahitaji nidhamu ya hali ya juu ...

Kama uwezi tafuta daftari lako panga kila kitu kwanza...
 
Wakuu kuwa na mtu aliyekuzidi umri kunaweza kufanya ukalemaa katika maisha haya ya kujitafuta kama kijana
 
Mungu akusaidie uweze kuacha
Sasa ndugu , Pombe Ina mapenzi gani nami kama inaniabisha tu...naiacha kabisa...kwenye library ya Mzee Ina vitabu vingi na diaries zake ,akiwa na umri Kama Mimi ,kaandika kuwa kuanzia Leo naacha pombe na fegi...na kweli aliacha.Nami naacha kabisa
 
Asant kwa ushauri wako kwasababu nilitegemea sana marafiki zangu
Maisha yako ni jukumu lako asilimia mia iwe furaha huzuni ama Hali yoyote ni jukumu lako.

Ukisaidia mtu yeyote usitegemee atakusaidia.....

Punguza matarajio kutoka kwa mtu yeyote.......

Jifunze kujipenda kwanza, kujijali na kuirudisha thamani yako

Kila la khery
 
Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja.

So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote

Wew je ni kitu gani huwezi rudia huu mwaka?
Kumuamini mbowe
 
Back
Top Bottom