Ni kitu gani ambacho huwezi kukirudia 2025?

Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja.

So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote

Wew je ni kitu gani huwezi rudia huu mwaka?
Marafiki ni kitu cha ajabu sana 😅
 
Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja.

So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote

Wew je ni kitu gani huwezi rudia huu mwaka?
kupga kavu stokuja nfanye huu ujinga
 
Cjui wengine marafiki wanatolea wp me cjawai bahatik
Mimi huyo mmoja kanigeuka halafu sikumtarajia 😅😅😅 na kumwaga mambo yangu hadharani. Ila sijaumia nimeona jinsi alivyo
 
Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja.

So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote

Wew je ni kitu gani huwezi rudia huu mwaka?
Kupigia kura chama X
 
Back
Top Bottom