Ni kitu gani ambacho huwezi kukirudia 2025?

Mikopo sitaki tena kukopa .Nshaweka mpango mkakati wa kuilipa iliyo baki.Ntadeal na vikoba tu.
Kuishi maisha ya maigizo narudi kwenye uhalisia.
Kampani za kijinga jinga sitaki tena.Ntanywea nyumbani tu .
Kuanza kuwa naonekana kanisani na kwenye jumuia mara moja moja.
 
Hakikisha unayatimiza uliyoyaandik mkuu..alf kumb mikopo na vikoba ni tofauti maan naskia kun wat wanakop ela kweny vikob
 
Reactions: EEX
Hakikisha unayatimiza uliyoyaandik mkuu..alf kumb mikopo na vikoba ni tofauti maan naskia kun wat wanakop ela kweny vikob
Ni nidhamu tu.Nikweli nilikuwa namaanisha ikitokea lazima kabisa ya kukopa nikope kwenye kikoba hukoo.
 
Utawez kwel
Sasa ndugu , Pombe Ina mapenzi gani nami kama inaniabisha tu...naiacha kabisa...kwenye library ya Mzee Ina vitabu vingi na diaries zake ,akiwa na umri Kama Mimi ,kaandika kuwa kuanzia Leo naacha pombe na fegi...na kweli aliacha.Nami naacha kabisa
 
Tumsifu Yesu Kristo
 
Reactions: EEX
Maisha yako ni jukumu lako asilimia mia iwe furaha huzuni ama Hali yoyote ni jukumu lako.

Ukisaidia mtu yeyote usitegemee atakusaidia.....

Punguza matarajio kutoka kwa mtu yeyote.......

Jifunze kujipenda kwanza, kujijali na kuirudisha thamani yako

Kila la khery
 
Reactions: Fni
Kupiga nyeto na sabuni ya unga
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…