Ni kitu gani ambacho huwezi kukirudia 2025?

Ukiwa na pesa nyingiiii..
Matumizi yake yanahitaji nidhamu ya hali ya juu ...

Kama uwezi tafuta daftari lako panga kila kitu kwanza...
 
Wakuu kuwa na mtu aliyekuzidi umri kunaweza kufanya ukalemaa katika maisha haya ya kujitafuta kama kijana
 
Mungu akusaidie uweze kuacha
Sasa ndugu , Pombe Ina mapenzi gani nami kama inaniabisha tu...naiacha kabisa...kwenye library ya Mzee Ina vitabu vingi na diaries zake ,akiwa na umri Kama Mimi ,kaandika kuwa kuanzia Leo naacha pombe na fegi...na kweli aliacha.Nami naacha kabisa
 
Asant kwa ushauri wako kwasababu nilitegemea sana marafiki zangu
 
Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja.

So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote

Wew je ni kitu gani huwezi rudia huu mwaka?
Kumuamini mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…