Ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted nacho?

Mi nadhani waliojibu wako sahihi, Hata wewe pia huenda ukawa sahihi.

Mkuu ameuliza : Ni kitu gani kilichokufanya uwe addicted nacho?

Swali limelenga "Vitu" au "Mambo" sio cause ya hivyo "Vitu" au "Mambo".

Hili swali linaweza kujibiwa katika namna tofauti, mfano;

โ€ขVitu vya kawaida: Chakula, vinywaji, au michezo.

โ€ขTabia: Kuangalia televisheni, mitandao ya kijamii, Video za ngono au kucheza michezo ya video.

โ€ขVitu vya hatari: Dawa za kulevya, pombe, au sigara.


Swali hili siyo tu linataka kujua chanzo cha uraibu, bali pia linataka kuangazia jinsi ulivyojikuta ukihusiana na jambo hilo, ni kwa kiwango gani limeathiri maisha yako, au sababu ya kuendelea kulifanya.
 
Ma brother.. Uzi bado
 
Sawa kabisa, huwezi kutaja kitu kilichokufanya bila kutaja ukawa na uraibu wa kitu gani. Sasa mapungufu yanakuja kutaja uraibu wa kitu bila kutaja sababu za kuwa na uraibu wa kitu hicho.

Yaani swwali lingeweza kuwa "wewe ni mraibu wa kitu gani". Then simple, mraibu wa a,b,c,d...

Lakini pia swali laweza kuwa, wewe ni mraibu wa kitu gani na nini kilikufanya uwe mraibu wa hicho kitu. Nimeiona thread katika taswira hii.
 
Ni kwel,watz wengi wana tatzo kwenye kujibu maswali huwa wanajibu tofaut na walivyoulizwa,fatilia hata interviews mbalimbali kwenye vyombo vya habar hii itaiona hasa hasa wale wanaojiita afisa mahusiano
 
Hii argument yako ingekuwa sahihi kama OP angeuliza specifically "Kitu gani kilipelekea ukawa addicted?" Hapo swali lipo clear kwamba linahitaji "cause" haijalishi context ya "effect" ni kitu gani.

Lakini OP ameuliza "Kitu gani kilikufanya uwe addicted nacho?" Hapo clearly objective ni "addiction" au swali ni kitu kilichokupa hiyo hali ya "addiction" au context ya "effect" na sio "cause."

Ironic, isn't it?
 
Haya mambo ya uraibu ukimweleza mtu anaweza asikuelewe. Maana gari likishawaka unaona siku haitimii bila hicho kitu.

Mi uraibu wangu ni uko ndani ya Nifah

Ova
 
Punyeto. Nina mke na watoto wa4. Nalala na mke wangu kila siku. Ila master lazima mazee...hii ni zaidi ya addiction ya unga na kubet.
Itakudhiru ni suala la mda. Acha taratibu. Bora uwe na michepuko kuliko hio kitu.
Ipo siku dudu lako litakuwa zembe mbele ya demu kama malaika na nyashi yote ile dudu haliamk.
Tune your mind.
Kuacha sigara ni ngumu kuliko kuacha punyeto ila watu tumeacha sembuse master b.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ