Ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted nacho?

Umefafanua vizuri mkuu
 
Kuacha nyeto ni kipaji mkuu kama vipaji vingine
 
Yaani swwali lingeweza kuwa "wewe ni mraibu wa kitu gani". Then simple, mraibu wa a,b,c,d...

Lakini pia swali laweza kuwa, wewe ni mraibu wa kitu gani na nini kilikufanya uwe mraibu wa hicho kitu. Nimeiona thread katika taswira hii.
Sahihi, ingependeza kama angetumia huu muongozo.
 
Kabliya subh na witr.. nilianza kama utani lakini mpka sasa nimekuwa mraibu.
 
Video za kufurahisha macho
 
Haya mambo ya uraibu ukimweleza mtu anaweza asikuelewe. Maana gari likishawaka unaona siku haitimii bila hicho kitu.

Mi uraibu wangu ni uko ndani ya Nifah

Ova
Haya mambo ndio maana yanaua, mimi si unaona nimekukeshea b…?

Nakupenda mno! Gari limewaka, liko katika mteremko na breki zimekufa!
 
Kununua mademu sababu kila demu niliyekuwa namsalandia anaruka nikaona hapa ntakufa na genyee
 
Kwamba unatisha
Hapana naheshimu ni chakula Cha watu lakini ni kwamba sijawahi tuu kuula na nilikuwa nausikia tuu, ko nilivyo uona ...... Nikabaki nashangaa sunajua tena ukiwa mgeni wa jiji
 
Mitandao ya kijamii (Twitter x) Jamii forum na movie , sababu iliyopelekea kuwa na hizo addiction ni kwakuwa muda mwingi huwa napenda kukaa peke yangu so nikikosa hivyo vitu nakuwa nipo sober though naanza kuwa over thinker, so ili kumaintain Hiyo Hali ndio nimekuwa addicted Sana , Nikikosa bundle Nahisi uchizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…