Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Hahaha! Lete bia bwana, kunywa Pepsi kunamaliza maji ya kupikia!😀Mkuu una akili sana kunywa pepsi nakuja kulipa
Huo mnasababisha wengine tupate kiu mjue😁Hahaha! Lete bia bwana, kunywa Pepsi kunamaliza maji ya kupikia!😀
Nilijaribu ya inzi hakunipa raha kama ya mlenda....mna nzi mwenyewe umkute yupo kwenye mood nzuri...sasa sii nsil yale yale ya mademuAcha niendelee na hii ya inzi mkuu 😂
Hayo nimesha achana nayo mkuu.Mambo haya 🍺🍺vipi bwashee
😉🔥🔥🔥Movie za ngumi,movie za kivita,mpira,na jf
Walimu mnaboa sana yaani mnakata sana.Watanzania bwana tuna tatizo sana la kuelewa maandishi, ndio maana tunaletewa mikataba ya bandari ya kuuza nchi na tunaingia kichwa kichwa.
Umeuliza ni kitu gani kilikufanya uwe addicted. Wewe umejieleza vizuri sana, nini kilikufanya uwe addicted na games - mlikuwa mkienda mahali fulani na mnakutana na games na muda mwingi unaupoteza huko.
Sasa angalia wanaokujibu. Ni kitu gani kilikufanya uwe addicted - mtu anajibu ni Pepsi, Punyeto, Cars, JF!
Nikiwa mwalimu wote hao nawapa 0%, hawajajibu swali! Au wewe Mkuu ndie umeuliza swali vibaya? Sidhani, maana swali lako mwenyewe umelijibu vizuri sana katika issue ya "cause and effect". Ulichouliza ni "cause", watu wanakujibu "effect"
Nitoe mifano;
Umeona basi jinsi wa TZ tusivyoelewa maandishi? Hata Mawaziri, wanasheria, Wabunge nk, nimeona wana tatizo hili, ndio maana mikataba kama ya bandari wanakomalia bila kuelewa, uraia pacha wanapinga bila kuelewa nk
- Wa Pepsi labda angesema niliishi sehemu hakuna maji safi ya kunywa, ikawa kinywaji ni Pepsi tu, nikawa nakunywa Pepsi kila siku. Nikawa addicted na Pespi
- Wa Punyeto angesema mke wangu alikuwa akisafiri kila wakati, sasa nikawa nina mmiss na kuona Punyeto ni mbadala, nikajikuta addicted hata akiwepo
- wa cars angesema nilikuwa na jirani anapenda magari kila tukikutana yeyey ni story za magari na uzuri wa magari, mara nyingine akinitoa for a ride na garri zake - nikawa addicted
- Wa JF angesema nilianza kwa kusoma story za Tundu Lissu tu alipopigwa risasi, nikajikuta naingia story za Mwajuma kafumaniwa, baada ya muda nikawa siwezi kupitisha saa bila kutupia jicho JF
Doggy style, bila hiyo naona kama sijanyanduaWakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu.
Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi naanza form 1 miaka ya 2008 huko kanda ya ziwa ilikua tukienda town weekend tunakutana na video games enzi hizo ps2 iko 🔥, basi muda wangu mwingi nilikua naupoteza huko. Hadi leo hii nimekua mraibu wa games yani haipiti siku bila kucheza.
Je, ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted maishani mwako?
Bila hivyo tunapata watendaji vishoka - si unawaona baadhi ya viongozi wako walivyo?😀Walimu mnaboa sana yaani mnakata sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punyeto. Nina mke na watoto wa4. Nalala na mke wangu kila siku. Ila master lazima mazee...hii ni zaidi ya addiction ya unga na kubet.
I love you deeply, my sweetheart. Please take good care of yourself for me, just as I’m doing for you.Haya mambo ndio maana yanaua, mimi si unaona nimekukeshea b…?
Nakupenda mno! Gari limewaka, liko katika mteremko na breki zimekufa!
🙌🙌🙌your a great thinker hongera sana mkuu umetoa somo,tatizo wengi wanakumbilia kujibu bila kufikiria.Watanzania bwana tuna tatizo sana la kuelewa maandishi, ndio maana tunaletewa mikataba ya bandari ya kuuza nchi na tunaingia kichwa kichwa.
Umeuliza ni kitu gani kilikufanya uwe addicted. Wewe umejieleza vizuri sana, nini kilikufanya uwe addicted na games - mlikuwa mkienda mahali fulani na mnakutana na games na muda mwingi unaupoteza huko.
Sasa angalia wanaokujibu. Ni kitu gani kilikufanya uwe addicted - mtu anajibu ni Pepsi, Punyeto, Cars, JF!
Nikiwa mwalimu wote hao nawapa 0%, hawajajibu swali! Au wewe Mkuu ndie umeuliza swali vibaya? Sidhani, maana swali lako mwenyewe umelijibu vizuri sana katika issue ya "cause and effect". Ulichouliza ni "cause", watu wanakujibu "effect"
Nitoe mifano;
Umeona basi jinsi wa TZ tusivyoelewa maandishi? Hata Mawaziri, wanasheria, Wabunge nk, nimeona wana tatizo hili, ndio maana mikataba kama ya bandari wanakomalia bila kuelewa, uraia pacha wanapinga bila kuelewa nk
- Wa Pepsi labda angesema niliishi sehemu hakuna maji safi ya kunywa, ikawa kinywaji ni Pepsi tu, nikawa nakunywa Pepsi kila siku. Nikawa addicted na Pespi
- Wa Punyeto angesema mke wangu alikuwa akisafiri kila wakati, sasa nikawa nina mmiss na kuona Punyeto ni mbadala, nikajikuta addicted hata akiwepo
- wa cars angesema nilikuwa na jirani anapenda magari kila tukikutana yeyey ni story za magari na uzuri wa magari, mara nyingine akinitoa for a ride na garri zake - nikawa addicted
- Wa JF angesema nilianza kwa kusoma story za Tundu Lissu tu alipopigwa risasi, nikajikuta naingia story za Mwajuma kafumaniwa, baada ya muda nikawa siwezi kupitisha saa bila kutupia jicho JF
I miss it bamboo juice itende kwa bibi,unatoka mishemishe zimebuma jua kaliiii unapita kwa bibi anakupokea kwa ulanzi bariiiidi jagi zima anakupa na mahindi mawili ya kuchemsha ushushie kwa nini usiupende ulanzi?Hii nilijua tu Dr ,kila siku unazungumzia ulanzi humu utafanya watu wengi tuwe addicted na ulanzi siku moja🤔
Hii nilijua tu Dr ,kila siku unazungumzia ulanzi humu utafanya watu wengi tuwe addicted na ulanzi siku moja🤔
Mi nishakosa kilainishi porini nikapiga nyeto kwa kutumia kiwiPunyeto. Nina mke na watoto wa4. Nalala na mke wangu kila siku. Ila master lazima mazee...hii ni zaidi ya addiction ya unga na kubet.
Ok hata wewe hujakosea pia ila kila mtu na uelewawake mdau hapo alichokifanya ni kufafanua swali ili watu waelezee vizuri.Mi nadhani waliojibu wako sahihi, Hata wewe pia huenda ukawa sahihi.
Mkuu ameuliza : Ni kitu gani kilichokufanya uwe addicted nacho?
Swali limelenga "Vitu" au "Mambo" sio cause ya hivyo "Vitu" au "Mambo".
Hili swali linaweza kujibiwa katika namna tofauti, mfano;
•Vitu vya kawaida: Chakula, vinywaji, au michezo.
•Tabia: Kuangalia televisheni, mitandao ya kijamii, Video za ngono au kucheza michezo ya video.
•Vitu vya hatari: Dawa za kulevya, pombe, au sigara.
Swali hili siyo tu linataka kujua chanzo cha uraibu, bali pia linataka kuangazia jinsi ulivyojikuta ukihusiana na jambo hilo, ni kwa kiwango gani limeathiri maisha yako, au sababu ya kuendelea kulifanya.