Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
Hata walio maliza la saba kwetu wanajiita wasomi, sishangai.
 
Dha, mm ni kufunga kamba za viatu. Ile system ya kuweka tobo ili kamba ipite juu sijui itokee chini uweke tobo lingine ufike mwisho mm imenishinda aise
Sasa mkuu huwa unavaaje viatu?
 
Kwa Nini magufuli alilifutia sifa jii la Dar es salaaam?
 
Back
Top Bottom