Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Mh ukisoma siunakuwa mtaalamu wa taaluma yako tu. au unajua vitu vyoteee kwa ulimwengu au mtoa mada ni feki nn .!!!!!!?????!!!!, Aya Mimi udakitari , urubani,kuvua samaki , ualimu na Kede wa kede.


Mafanikio ni zaidi ya juhudi na akili
 
Inakuwaje mwanaume amwombe pesa mwanamke[emoji2297][emoji2297]
 
Mh ukisoma siunakuwa mtaalamu wa taaluma yako tu. au unajua vitu vyoteee kwa ulimwengu au mtoa mada ni feki nn .!!!!!!?????!!!!, Aya Mimi udakitari , urubani,kuvua samaki , ualimu na Kede wa kede.


Mafanikio ni zaidi ya juhudi na akili
Hapa tunaangalia vitu vinavyogusa maisha ya kawaida si professions mkuu
 
Aah wapi sio rahisi mkuu,unajua amenishangaza sana kwani kitu kinachomsumbua hata level ya std 7 tu madogo wengine wanaelewa
Sawa. Ndio maana sijui mpaka sasa. Wewe mwenyewe jichunguze vizuri. Kuna kitu hata mtoto anaweza lakini wewe kitakushinda au hukijui
 
Back
Top Bottom