Yawezekana, kuna kozi hata za miezi 3 pale kwa waliofeli f4.Itakua UDSM.
Yawezekana, kuna kozi hata za miezi 3 pale kwa waliofeli f4.Itakua UDSM.
NaamYawezekana, kuna kozi hata za miezi 3 pale kwa waliofeli f4.
😂😂😂Duh,ila we umezidi,
Umesoma chuo gani?
Anazungusha kwenye mguu na kiatu kama anafunga mbuziSasa mkuu huwa unavaaje viatu?
Hukutumia mbesai kweli kufaulu mitihani yako mkuu?Ni vyuo sio chuo mkuu. Ila ni vya humuhumu Tanganyika
Huo ni mtihani sana ni wachache wanaweza hizo mambo!!kumwaga nje
Aah wapi sio rahisi mkuu,unajua amenishangaza sana kwani kitu kinachomsumbua hata level ya std 7 tu madogo wengine wanaelewaItakua UDSM.
HahhhahahaaPublic speaking.
Jasho linatoka na maneno hayatoki.
Wasomi wanaanzia ngazi gani?Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
Utakua una mtindio mkuu,fuatilia vizuri,sasa hayo matundu yanakupa shida gani?Dha, mm ni kufunga kamba za viatu. Ile system ya kuweka tobo ili kamba ipite juu sijui itokee chini uweke tobo lingine ufike mwisho mm imenishinda aise
Kwenye kuendesha kwa miguu miwili tupo pamoja japo mimi sio msomiKuendesha gari kwa mguu mmoja! Siwezi kabisa nilijifunza kwa miguu miwili tena online sio veta