Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Mimi changamoto yangu kubwa ni matumizi sahihi ya preposition Kama at, for ,to , on , in, etc wakati wa kuzungumza.
Pia na kutaja masaa na madakika yake kwa kiingereza.
Hahahaha. Kilikuja na meli mzee
 
Hivi saa zinafundishwaga vyuoni ?
Mi nadhani saa zinafundishwa s/m na secondari vyuoni ni matumizi ya saa mfano kwenye physics, geog. Computer programmong.
Naombeni mnieleweshe mliomuuliza kuwa kasoma chuo gani.
Je ni mada ipi katika somo lipi huko chuo husoma/ hufundishwa Masaa au calendar.
Navyojua mimi masaa wnafundishwa darasa la tatu mpaka la saba huko juu ni matumizi tu.
 
Mpaka leo sijawahi kujua kwa nini irresponsible women, wenye tabia mbaya, wachafu, kupika ovyo, wavivu, roho mbaya ndo wanaume wanapenda kuwaoa haraka?

Kuna mdada tuna undugu kwa mbaali, siku moja niliingia chumbani kwake yesuuuu chupi taiti nguo alozivaa mwaka jana zipo hapo chini na mashati ya mmewe, shuka chafuuu, chumba kina kijiharufu fulani, anaweza kuwa seblen afutie kitenge mtoto labda katapika hicho kitenge kitashinda kwenye sofa siku nzima labda mfanya kazi akitoe.

Hata mtoto akae juu ya meza hakuna wa kumkanya. Sema yeye roho mbaya hana
lakini cha kushangaza

-Wanaishi kwenye mjumba kama wa mil 300
  • mmewe anaendesha ford everest, prado zimepaki hapo
  • they are happly married
-yaan wote wana furaha.
-mmewe ni pande la baba

Kuna wanaume wavumilivu.

Aisee duniani kuna watu wana bahati sio huyo tu nimeona wengi.
 
Najaribu ku figure out inakuwaje nchi kama Korea ambayo ilianza from scratch baada ya vita ya peninsula miaka ya 1950s ambayo ni almost sawa na sisi tulipopata uhuru (hakuna tofauti ya miaka 10).

Wao wanawaza kufanya expeditions huko kwenye space wakati sisi tunajaribu kuhamasishana na kuelimishana juu ya uchimbaji wa vyoo.

CCM ni cancer iliyojichimbia hata kwa chemotherapy hatupati ahueni.
 
Mpaka leo sijawahi kujua kwa nini irresponsible women, wenye tabia mbaya, wachafu, kupika ovyo, wavivu, roho mbaya ndo wanaume wanapenda kuwaoa haraka? ...
Yani unategemea ukajue ndoa ya watu kirahis hivo?
Familia zina mengi hasa za matajr kama hivo wewe hata usione wivu hata, potezea tu

Kuna mengi nyuma ya pazia na wako vizur kwenye kupokea mgeni kwa furaha, huwezi jua wanapitia yapi.
 
Back
Top Bottom