Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

1. Kwanini tunaota ndoto?
2. Tukifa tunaenda wapi?
3. Nawezaje ku download material yote yaliyo kwenye ubongo wangu niya save kwenye computer?
4. Kwanini hatuwezi kujua kesho yetu?
5. Nini kilitangulia kati ya yai na kuku?
6. Vipofu wanaotaga ndoto?
 
Kusoma sio kujua kila.
Kusoma ni kujua vichache ulivyosomea
 
Siwezi kabisa kujisafisha kwa kutumia karatasi za chooni ( TP ) nimeshindwa kabisa🤣
 
Bado sijajua kwanini watu wanaamini vitabu vya dini ni non-fiction ilhali kwa akili ya kawaida tu, yote ni fiction!
 
Back
Top Bottom