Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Kuanzia 4000 kuandika namba za kurumi maana naishiaga MMMDCCC1X
 
Aisee!!, mpaka leo vitu vinavyonisumbua ni kufua na kuoga. Kuepusha mzigo wa kufua, nimeamua kua na pea mbili tu za nguo (shati mbili na suruali mbili), ili ikifika siku ya kufua nimalize harakaharaka. Kuoga nako, duh!!, naoga kwa mwezi mara 3.
 
Wewe ni mchafu, hakuna mtu anayependa uchafu ila kila mja atatambulika kwa sifa yake.
 
Mpaka leo sijaelewa kwanini tumekikumbatia kiingereza kwenye mambo yetu ya kitaifa,iwe elimu,makazini(hasa ofisi za umma kujiita kwa majina ya kiingereza)..
 
Hesabu za Sehemu (Fraction) mpaka leo siwezi achilia mbali Logarithms
Da'Vinci unazingua, A-Level NECTA, Advanced Mathematics una A, halafu fractions na logarithms zikushinde?!!, wakati kila hesabu unayofanya mara nyingi lazima ukutane na fractions, unazingua mwamba.
 
Magufuli alishindwa kutamka neno

Entrepreneurship,

Na nina uhakika 80% ya watanzania hawawezi kutamka hilo neno kwa usahihi.

Neno lingine ni Yatch
Antraprenyuaship

Yatch-Yachi, Hatch-hachi, Match-machi, Clutch-klachi, Batch-bachi.
 
Back
Top Bottom