Itakua UDSM.Duh,ila we umezidi,
Umesoma chuo gani?
Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
Hata walio maliza la saba kwetu wanajiita wasomi, sishangai.Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
Huyu atakuwa aliruka hakusoma primary...Duh,ila we umezidi,
Umesoma chuo gani?