Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Bado sijajua kwa nini mtu akitaka kwenda haja kubwa (kunya) popote, lazima ageukie alipotokea ndipo ajikamue?...
 
Kwamba what is real happening wakati mtu anakufa? Je mtu utajuaje kama umeshakufa? na je unaweza kukumbuka kwamba alishawahi kuishi duniani before?
 
Dha, mm ni kufunga kamba za viatu. Ile system ya kuweka tobo ili kamba ipite juu sijui itokee chini uweke tobo lingine ufike mwisho mm imenishinda aise
Utakua una mtindio mkuu,fuatilia vizuri,sasa hayo matundu yanakupa shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…