Kupiga nyeto ni dhambi mkuu. Kuna kisa jamaa kaka yake alikufa akarithi mkewe halafu kwenye kugonga akifikia kwenye kumwaga anamwaga pembeni Mungu akamuua pale pale.Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi.
Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
Tafsiri ya neno dini ni nini ?Usishangae hayo shangaa. biblia hakuna mahala popote iliposema ukristo ni ndini lakini wakristo mpaka Leo wana ng'ang'ana ni DINI
Punyeto sio dhambi ni najisi, mwanaume yoyote akishatoa manii yake ajitakase siku 7, kuna tofauti kubwa kati ya najisi na dhambi .Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi.
Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
Mkuu kulewa ni dhambi hilo sawa, je kunywa pombe ni dhambi? Mimi nakunywa wine occasionally ila tangu nizaliwe sijawahi lewa. Dhambi yangu nini hapoWaamuzi 13:4 Basi sasa, jihadhari, nakuomba, usinywe divai wala kileo, wala usile kitu kilicho najisi;
Au unasema hapa Mtume Paulo alipomshauri Timotheo👇
1 Timotheo 5:23 Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara....
Msipotoshe Wakuu..kama ni Pombe ,kunyweni tu kama ilivyo Uzinzi .
Wakiristo wa zamani walifanya huduma za dhati za kufunga bila kula huku wakisafiri umbali mrefu kupelekaa injili.
Lkni pia DIVAI ,ilitumika kama Dawa kutibu magonjwa .... Kasome Luka 10:33-34 kisa Cha Msamaria, alipomkuta mtu njiani hajiwezi ( anaumwa) mwili una vidonda, aliamua kutumia DIVAI kumpaka kwenye vidonda, yaan DIVAI ni kama ilivyo Hydrogen Peroxide au kama Iodine
Sasa , Timotheo ambaye alikua amefunga akinywa maji tu uku akitembea umbali mrefu kumtangaza injili , mwili wake ulidhoofu na wanatheolojia wanaelezea kua alianza sumbuliwa na tatizo la tumbo kuuma na kudhoofu.
Ndipo Mtume Paulo, anamshauri Timotheo,. Usinuwe maji tu, "Bali na Divai kidogo" ili huo Divai uende kua Dawa Kwa Timotheo na kumponya.
HAKUA NA MAANA YA KUA ,KUNYWA MVINYOOO KWA STAREHE AU KAMA SEHEM YA MAISHA YA KILA SIKU .
Kunyweni tu ila msitafute sababu za kuhalalisha, Ulevi, Biblia inamtaja mlevi kama mtu ambaye hupatwa na Kila jambo .
Ni kama ilivyo Uzinzi tu!!.
Tusihalalishe kitu, Mungu ni Mungu, hajipingi !!.
Mleta mada, Soma mambo ya Walawi 15 mstari wa 16
Najisi ni kitu chochote ambacho ni kichafu na hakifai katika mwili wa binadamu.Punyeto sio dhambi ni najisi , mwanaume yoyote akishatoa manii yake ajitakase siku 7 , kuna tofauti kubwa kati ya najisi na dhambi .
Yah upo sawa mkuu.Najisi ni kitu chochote ambacho ni kichafu na hakifai katika mwili wa binadamu.
Sio dhambi maana haijasema unamtenda Mungu dhambi bali unakua najisi.
Sasa chief wewe shahawa zilizokutoka unazitakia nini tena kwenye mwili wako? (Najibu hapo uliposema hakifai tena katika mwili wa binadamu) je wafahamu makabila mengi ya kaanani yaliondolewa/kuuawa na kumalizwa wote/yote kwa sababu Mungu aliyaita ni najisi? Kama najisi sio issue kubwa then why?Najisi ni kitu chochote ambacho ni kichafu na hakifai katika mwili wa binadamu.
Sio dhambi maana haijasema unamtenda Mungu dhambi bali unakua najisi.
Sio kwamba najisi sio issues kubwa ,apa amejaribu kuonyesha tofauti ya najisi na dhambi , najisi ni vile vitu venye kuuchafua mwili wako ndio maana ili kuondoa najisi ulikuwa unaambiwa kaoge mto Jordan [emoji1137] mara saba ,ila dhambi lazimu utubu, ukiri na kuomba samahani.Sasa chief wewe shahawa zilizokutoka unazitakia nini tena kwenye mwili wako? (Najibu hapo uliposema hakifai tena katika mwili wa binadamu) je wafahamu makabila mengi ya kaanani yaliondolewa/kuuawa na kumalizwa wote/yote kwa sababu Mungu aliyaita ni najisi? Kama najisi sio issue kubwa then why?
😂😂😂Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi.
Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.Ningependa kuona Andiko ambalo yesu akisema yeye ni MUNGU
Na pia andiko akisema yeye ni mwana wa mungu
Na andiko akisema yeye ni nabiI MTUME mjumbe wa MUNGU aliyetumwa na MUNGU kuitangaza Injili
Sijui nazini marangapi kwa siku mbwa mimi😅😅😅
Basi mi nimezini sana aisee
Mathayo 5:28Tupe andiko mkuu
Apa naona Yesu aliongea kwa mhemko tu anaetamani mara nyingi sio mimi ni Abdala kichwa wazi.Mathayo 5:28
"Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Andiko Hilo linamaanisha kumtamani mwanamke ni uzinifu , huwez fanya punyeto bila kutamani .. kwahyo punyeto Moja kwa Moja inakuingiza kwenye dhambi ya kutamani !! Ambayo ni uzinifu
Kitu chochote kinachokuletea madhara au kumdhuri mtu mwingine ni dhambi. Biblia imeweka principles tu. Haiwezi kuorodhesha kila kitu. Wewe utapima jambo lolote Kwa principles hizo uone kama linaenea au linapwaya. Ukifanya masturbation Kwa muda mrefu itakupa matatizo. Hata ugali kula ndoo nzima na nyama choma uone. Japo ni chakula lakini umtumia Kwa ulafi Kwa hiyo ni dhambi.Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi.
Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
Wewe ukizaa utazaa binadamu au mbuzi?Kwa hiyo YESU ni MWANAWAMUNGU
Na sio MUNGU
Hvyo YESU sio MUNGU ?
Kukujibu tu hichi ulichoandikaKwa hiyo YESU ni MWANAWAMUNGU
Na sio MUNGU
Hvyo YESU sio MUNGU ?
Hebu pitia maandiko haya tuuone huo uongo...!Uongooooo