Ni kitu gani cha kijinga na cha ajabu ulikua unakiamini kabisa ukiwa mtoto ?

Ilitakiwa wakueleweshe tu, sisi tuliamini mtoto anaokotwa chini ya jiwe kubwa ambalo liko mtoni.

Mpaka leo napendaga sana kusikiliza story za watoto wanadanganyana hadi sio poa 😂😂
Watoto wawili wa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS Ali Al-Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain wakikimbia huku wakilia baada ya kupata habari baba yao kauliwa kikatili 😭😭😭😭😭😭

adriz Mufti kuku The Infinity
 
Hahahaha! Noma sana..
 
Ulivyokuwa ikawaje?
Mambo ni tofauti sana aiseee!! Watu wanaaachana sana, watu wanasalitiana, wanatesana, wanadhalilishana sana kwenye mahusiano/ndoa na ukiweza kuvumilia hayo unaonekana mkomavu na kupewa sifa za kuonekana umepevuka.
 
Hali si hali🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Ambulance zenye msalaba mwekundu ni Gari zinazobeba wanyonya damu,
Ilikua tukiziona tunakimbilia ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…