Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

[emoji12] [emoji12] [emoji12] weee chafya tamuuu mkuuu yaan ikiwa inaanza kuja unaona unahama dunia , asa usiombee iwe inakuja haraf inaishia njian , unataman uirudsheee,

Sasa km una mafua mkuu, kaa na hengachif maana kamas lazma...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chafya raahaa
 
Budgeting, I wish I could spend without worrying about tomorrow
 
Siwaligegedana kwa starehe zao binafsi....


Je nisingekuwa mkulima nikawa sister
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo hazikuwashi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…