Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Sipendi kupiga chafya wakati naumwa mafua daah mateso tupu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] weee chafya tamuuu mkuuu yaan ikiwa inaanza kuja unaona unahama dunia , asa usiombee iwe inakuja haraf inaishia njian , unataman uirudsheee,

Sasa km una mafua mkuu, kaa na hengachif maana kamas lazma...
 
Aaah chafya ya mafua na mkojo ni mapacha. Ile unapiga chaaaa na wenyewee unaitikia churuuuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] weee chafya tamuuu mkuuu yaan ikiwa inaanza kuja unaona unahama dunia , asa usiombee iwe inakuja haraf inaishia njian , unataman uirudsheee,

Sasa km una mafua mkuu, kaa na hengachif maana kamas lazma...
 
Umewahi kukaa mkutanoni, kwa mfano, halafu kila baada ya sekunde kadhaa tumbo linaachia ngurumo "gruuuuuuuuu"? Akilini unawaza, "Hivi wameelewa kuwa hiyo ni ngurumo ya tumboni na sio kwamba ni ile nyingine?" Unatamani utoe ufafanuzi ili kuua soo. 🙄🙄🙄🙄🙄😱😱😱
 
Kweli hii idea ya ku hide info za members humu imesaidia maana ww husna muba ningekuwa nakujua sijui ningekuonaje daaah
 
Sipendi kupiga mswaki a.k.a kusafisha meno kabisaaaa...

napenda kusikia harufu ya kinywa, hasa mwanamke ambaye hajasafisha kinywa tena jana yake awe alikunywa serengeti beer na mataputapu mengine kama Chibuku au banana.. napenda ile harufu hatari...
 
Back
Top Bottom