Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] weee chafya tamuuu mkuuu yaan ikiwa inaanza kuja unaona unahama dunia , asa usiombee iwe inakuja haraf inaishia njian , unataman uirudsheee,Sipendi kupiga chafya wakati naumwa mafua daah mateso tupu
Kuna wengine tumezoea MC mensuration cycleKuna mwanamke asiyejua maana ya Mp??? Huyu husna inabidi tumfanyie uchunguzi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] weee chafya tamuuu mkuuu yaan ikiwa inaanza kuja unaona unahama dunia , asa usiombee iwe inakuja haraf inaishia njian , unataman uirudsheee,
Sasa km una mafua mkuu, kaa na hengachif maana kamas lazma...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] kwannUnawaponda wazazi wako ujue
Waligegedana ndo ukapatikana wewe, halafu wewe hutaki huoni ni kuwadisi[emoji12] [emoji12] [emoji12] kwann
Siwaligegedana kwa starehe zao binafsi....Waligegedana ndo ukapatikana wewe, halafu wewe hutaki huoni ni kuwadisi
Hahaha eti mkulima!Siwaligegedana kwa starehe zao binafsi....
Je nisingekuwa mkulima nikawa sister
Wala wa kanisaniHahaha eti mkulima!
Sister kwa maana ya dada?
Kumbe wale watume, lakini kumbuka pia kuna watume wa kiume(padre), kwa hiyo mgegedo haukwepekiWala wa kanisani
Aisee eeee inaonyesha unaendaga mara 2 kwa weekHaja kubwa!
Naendaga kila siku aaubuhi na jioni mpaka kero aisee!!! Nikibana nisiende kesho yake shughuli pevu mpaka inanichana naniliu [emoji85]Aisee eeee inaonyesha unaendaga mara 2 kwa week
Masiara hayo punguza kula bhasiNaendaga kila siku aaubuhi na jioni mpaka kero aisee!!! Nikibana nisiende kesho yake shughuli pevu mpaka inanichana naniliu [emoji85]