Ni kitu gani 'EX' wako alisema kuhusu wewe mlivyoachana na kilikufedhehesha?

Alisema mi ni muhuni eti hata nikiwa nae nilikua sioni aibu kugeuka kuangalia mademu wengine.

Tuhuma hizi ni za uongo maana hata nikiwa peke yangu huwa sina tabia ya kugeuka nikipishana na mademu
Alikua amekuchoka😂
 
Alinitangaza mtaani kwamba nnapenda sana kwa mparange(Tope) kuliko njia kuu. Na n kwel napenda Kwa mparange.
Wadada na wamama wa mtaani walikua wananiogopa sana. Ckuweza kupata Dem mtaan tena.
 
Alinitangaza mtaani kwamba nnapenda sana kwa mparange(Tope) kuliko njia kuu. Na n kwel napenda Kwa mparange.
Wadada na wamama wa mtaani walikua wananiogopa sana. Ckuweza kupata Dem mtaan tena.
Dah umenichekesha kinyama jamaa, kwamba kweli wewe unapenda behind the scenes 🤣🤣
 
Nikiumia pale niliposikia kua Niko na wanawake wengi huku nikiwa Sina nikimtizama yeye kua kama kilevi changu aloooh nikiumia sana🤣🤣
 
Niliuguaga kuna kipindi bwana ugonjwa serious sana siku tunaachana niliambiwa wewe toka na ma fungus yako kila sehemu apo uku yeye toka tunaanza mahusiano anahangaikia kupona PID
 
Niliuguaga kuna kipindi bwana ugonjwa serious sana siku tunaachana niliambiwa wewe toka na ma fungus yako kila sehemu apo uku yeye toka tunaanza mahusiano anahangaikia kupona PID
Pid ndo Nini!?
 
"Huna pesa na haujui mapenzi",

Lakin hajawahi kupigwa show ya bila kukojoa
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Uduguu sina ex mwenzio na sijawahi kuwa na ex. Nna fire extinguisher tyuu kwaajili ya dharula ya moto ukitokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizii wee!!
 
Niliuguaga kuna kipindi bwana ugonjwa serious sana siku tunaachana niliambiwa wewe toka na ma fungus yako kila sehemu apo uku yeye toka tunaanza mahusiano anahangaikia kupona PID
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…