sasa mwanaume unakosaje hela πππKuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.
Kuna mambo kadhaa k.v
1.Wewe ni mweusi,
2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu
3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda
4.Umeolewa? Utaolewa lini umri umeenda
5.Mbona wenzako wamefanya hili na lile lakini wewe bado.
6.Kwa nini huchangamani na watu?
7.Mbona huendi kanisani, msikitini n.k
8.Si bora hata ufanye biashara?
Yapo mengi ukiambiwa yanakukera. Wewe lipi linakukera ukiulizwa kila saa? Na unachukualiaje?
Mimi nikoombwa hela halafu nisikie mwanaume unakosaje hela. Sipendi kabisa
πππunaongea na mtu vizuri tu ghafla linaanza kumbe una "kithembe" woooi
Penye matirio hakuna wajenzi...unaongea na mtu vizuri tu ghafla linaanza kumbe una "kithembe" woooih
Una jina zuri!Mimi sipendi tu kusifiwa aisee!
ππππKuolewa hutaki si uzae..!!
Wanakera sana aiseekuna baadhi ya mikusanyiko ya familia siendi kwa ajili hiiiπ
Hii hoja ijengewe bango ili isije ikafutika...π€ͺAcha ulevi unakumalizia fedha utafikiri natafutaga nao
Sema suu ππππππunaongea na mtu vizuri tu ghafla linaanza kumbe una "kithembe" woooi
ntakubondaππππππππSema suu ππππππ
Zaa sasa,.... singlemom wote ni Malaya tu!Kuolewa hutaki si uzae..!!
I wish kwenye maisha yangu nipate mke mmoja mwenye kithembe, napenda sana watu wa hivyo, yaani ile thatha mume wangu thi ni kama tulivyoongea?.unaongea na mtu vizuri tu ghafla linaanza kumbe una "kithembe" woooi
funga ndoa binti yangu kwenye hili hakuna namna utachomokakuna baadhi ya mikusanyiko ya familia siendi kwa ajili hiiiπ
3&7 huwa inazengua kinomaπKuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.
Kuna mambo kadhaa k.v
1.Wewe ni mweusi,
2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu
3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda
4.Umeolewa? Utaolewa lini umri umeenda
5.Mbona wenzako wamefanya hili na lile lakini wewe bado.
6.Kwa nini huchangamani na watu?
7.Mbona huendi kanisani, msikitini n.k
8.Si bora hata ufanye biashara?
Yapo mengi ukiambiwa yanakukera. Wewe lipi linakukera ukiulizwa kila saa? Na unachukualiaje?
Mimi nikoombwa hela halafu nisikie mwanaume unakosaje hela. Sipendi kabisa