Hivi kwanini kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wana wapenzi zaidi ya mmoja? na hata km hana ila amekuwa akitoka nje ya mahusiano yake? Hope hata nikiuliza nani amekuwa na mpenzi mmoja tangu awe na mahusiano utakuta ni wachache, tatizo nini hasa?? Inawezekana au ngumu?
Kwa kweli kila nimjuae ana zaidi ya mmoja at the same time hope hata wewe ukichunguza utagundua.Mtoa mada umejuaje?au wewe ndo una mpenzi zaidi ya mmoja???
Watu ambao wanawapenzi zaidi ya mmoja ndio wanataka uamini kua ni kitu cha kawaida sababu wengi wanafanya hivo ila mimi sidhani kama ni 80%. we hiyo figure umeitoa wapi?
Wenye mpenzi zaidi ya m1 ni tamaa tu za mwili na sio kwamba ana mapenzi ya dhati kwa wote
Hivi kwanini kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wana wapenzi zaidi ya mmoja? na hata km hana ila amekuwa akitoka nje ya mahusiano yake? Hope hata nikiuliza nani amekuwa na mpenzi mmoja tangu awe na mahusiano utakuta ni wachache, tatizo nini hasa?? Inawezekana au ngumu?
Kwa haraka unaweza kusema si ukweli ila ukichunguza utagundua niko sahihimkuu hapo kwenye aslimia, unamaanisha kila watu 10, watu 8 sio waaminifu?HAPO UMETIA CHUMVI,,,Utafiti wako si wa kuamninka kabisa.