NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

hahaaaaa ongea na PakaJimmy abuku kabisa Ndodi yuko arusha, nyomi ile mbaya (sore off topic)
 
Inasemakana wanawake wengi iwa wanalzimishwa kulala upande wa ukutani hii ni kwa nn?
 
Unataka kuniambia Kanisani hakuna MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI? Sasa yeye baba Paroko alitoka wapi? kama sio mapenzi hata yeye asingekuwepo.Kwa hiyo anahusika sana huku niliko.
Ziondaughter is smart and special
 
Unataka kuniambia Kanisani hakuna MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI? Sasa yeye baba Paroko alitoka wapi? kama sio mapenzi hata yeye asingekuwepo.Kwa hiyo anahusika sana huku niliko.

Yeah! Nilitoka hukohuko!
 
Inasemakana wanawake wengi iwa wanalzimishwa kulala upande wa ukutani hii ni kwa nn?

Fidel80 leo unatapatapa kweli mpwa(tupo wengi hapo) haaaaa lol!!! mada mpya hiyo
 
Inasemakana wanawake wengi iwa wanalzimishwa kulala upande wa ukutani hii ni kwa nn?
wasipate kutoroka kirahisi usiku, wanawake wajanjaaa , mara usiku anaamka anakwenda neksti doo, lakini akilazwa ukutani inakuwa ngumu kidogo kuondoka kitandani usiku wa manane kinyemela.
 
Kwani lazima kitanda kikae pembeni? Mi cha kwangu kiko katikati ya rumu.
 
Inasemakana wanawake wengi iwa wanalzimishwa kulala upande wa ukutani hii ni kwa nn?
Na wengine huwa wanaomba wenyewe kabisa sijui kwanini, may be kwasababu wako hapa basi watuambie sababu
 
Hahahaha! Hili linahitaji thread yake hili!

Ponjoro man ninae hapa mdau mkubwa wa Chawote kathibitisha hilo wababa wanapenda kulala pembeni tunasema kwenye moto alafu wa mama wanapenda ukutani.
 
Na wengine huwa wanaomba wenyewe kabisa sijui kwanini, may be kwasababu wako hapa basi watuambie sababu

I feel comfortable, safe and secured nikilala pembembeni/ukutani (it may sound creze bt ndo ukweli huo).

sasa kitanda kikiwa katikati ya rum kama cha shem basi hilo jambo lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…